Muda si mrefu hapa nimetoka kubailojiana na mtoto wa kirangi,
Kabla ya game Kameniambia kako Danger nitumie Ndom, nimekakazia nimepiga kavu na nimetupia Mbili tu za uhakika,
Kametoka hapa gheto...
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana...
Hivi kwanini wanawake wengi walioolewa hawataki kabisa kujionyesha hivyo badala yake utakuta wanapost picha ZOTE ama wakiwa na marafiki zao, ama peke yao, ama na watoto kama vile ni ma single...
Nadhani mnakumbuka kisa cha huyu binti ambaye kwa sasa ni marehemu RIP [emoji1019] aliyejinyonga akiwa chuoni Iringa?
Huyu binti ni mmojawapo wa wahanga wa mimba za bahati mbaya? Mimba kabla ya...
Zamani mtu akikwambia anaoa basi hiyo ni sifa moja kubwa sana kujivunia kwa mwanaume. Hivyo hivyo kwa upande wa pili mtu kuolewa ilikuwa ni baraka kubwa sana kwa mwanamke mwenyewe na hata upande...
Una mahusiano na mwanamke then anakwambia ex wake anamsumbua sana kwa simu.
Unamwambia block namba yake na uifute kwa simu lakini yeye anaibadili jina nakusave la kaka yake.
Kisha unagundua...
yaani unahudumiwa vizuri, unagegedwa vizuri... hadi unatoa milio yote ya simu mpaka unaikimbia dushe bt bado unataftwa na x aliekuacha kwa kukudhalilisha vibaya unarahisika na kumcheat mwenza...
Wadau karibuni tupeane visa, na mikasa tunayokutana nayo kwenye ndoa zetu.
Tupeane hints za kutaka kuoa, maana kuna changamoto kubwa katika ndoa zetu za mwendo kasi kuvunjika ndani ya muda...
Ndugu wanajamvi, Wasalam.
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, Mimi ni Kijana wa kiume, Nahitaji Mwenza ambae Mungu akijalia aje kua mke wangu
Vigezo
1. Umri miaka 18 mpaka 28
2. Elimu Kuanzia...
Habari wana MMU,
Baada ya kuona kuwa kumekithiri matukio kama, mauaji,vipigo,kufokewa,kutukanwa,kudharuliwa kwa baadhi ya watu nimekuja kugundua yafuatayo
Hasira ina hasara kubwa sana...
Kuitwa baba si mchezo...
Ina maana majukumu yote ya familia yanakusubiri wewe.
Watoto kula
Watoto kuvaa
Watoto kwenda shule
Watoto kutibiwa
Kuhudumia mke
Kuhudumia wakwe
Kuhudumia wazazi...
Naomben mawazo yenu
Nimeamua kwa dhati na kwa moyo mmoja kuachana na mme wangu Ila bado sijamwambia Wala sijataka kushirikisha mtu. Nachotaka niweke mambo yangu sawa kwanza
Mme wangu sio mkorofi...
Habarini za mda huu?
Niko hapa ili tupeane maalifa mbali mbali ambayo yanaweza kutusaidia kujenga na kubomoa pia kama inawezekana.
Twende kwenye msingi wa mada kwa wataalam naomba kufahamu...
Mimi ni
>Nina miaka 27
>Mrefu kiasi 5‘6” (futi 5 na inchi 6)
>Elimu kidato cha sita
>Sina mtoto
>Ni fundi muashi/uwashi
>Mlongo wa kisiasa ni muafidhina
>Dini ni muislam
Mwanamke ninaemuhitaji...
HABARI ZENU WANA MMU?
Bila kupoteza muda naomba nieleze kilichonisibu mpaka kuja huku.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nimeoa na mke wangu nampenda sana. Sasa wiki kama 4 zilizopita...
Habari zenu wakuu, leo buana nikiwa nimekaa zangu ofisini mara ghafla likaja wazo ninamfanyia nini babe wangu japo hata kidogo ila mradi kizawadi.
Baadae nimendelea na majukum saa tisa ikafika...
Naleta mrejesho wadau yule mwanamke alyedai ananipenda saivi ananiambia tuwe marafiki, na mm nkamjib mm urafik siwez, et akanijib kama huwez mmoja akubali kuumia namm nkamjib mimi nipo tayar...
Unaposema fulani ni rafiki yangu,huwa unamaanisha nini?
Anakusaidia kwenye shida
Anabadilishana na wewe mawazo tu
Anakupiga mizinga tu
Anakusaiia mikopo midogo midogo
Anakupa ushauri wa busara...
MI NI MWANAUME LEO NAWAPA SIRI ZA MWANAUME Ambae Anataka Akuchezee Afu Akuache Yuko Ivi
1-Siku Yakwanza Mtapoenda Kufanya Ngono Atagalamia Kila Kitu, Ila Akisha Kukojolea2 Kisha We Ukaenda...