I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,726
- 10,016
Zamani mtu akikwambia anaoa basi hiyo ni sifa moja kubwa sana kujivunia kwa mwanaume. Hivyo hivyo kwa upande wa pili mtu kuolewa ilikuwa ni baraka kubwa sana kwa mwanamke mwenyewe na hata upande wake mzima.
Wanawake walikuwa na sifa zote za kustahili kuolewa na kuishi ndani ya ndoa na hata watoto pia walikuwa katika maadili.
Mwanamke mwenye sifa alikuwa;
- kwanza mume akitoka atokapo anapokewa chochote alichobeba na pole kwa uchovu anapata.
-Maji bafuni anatengewa sio mume kubeba ndoo mwenyewe mpaka bafuni.
- Chakula mezani anatengewa na mikono ananawishwa. (mmmh sasa hivi sasa....ngoja niishie hapa)
- Anajituma kumridhisha mume chumbani ili kutunza ndoa yake.
- Kumnyooshea nguo mume na hata kumchagulia nguo nzuri za mtoko.
na mengineyo mengi.
Nyongeza: Kubwa kuliko wanawake wa kipindi hicho walikuwa siku ya kuolewa analia. * hapa sijui nini kilikuwa kinawaliza*
Miaka ya karibuni hawa wanawake wa sifa hizi wamepepea na ngumu kupatikana kabisa hata wale wa zamani baadhi nao wameanza kupata mapembe kutunishiana misuli na wame zao hii nayo ni tatizo.