Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,318
- 64,478
Kuitwa baba si mchezo...
Ina maana majukumu yote ya familia yanakusubiri wewe.
Ina maana majukumu yote ya familia yanakusubiri wewe.
- Watoto kula
- Watoto kuvaa
- Watoto kwenda shule
- Watoto kutibiwa
- Kuhudumia mke
- Kuhudumia wakwe
- Kuhudumia wazazi
- Kusimamia familia
- Kuhudumia ndugu mbali mbali n.k