Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,041
- 4,297
Habari zenu wakuu, leo buana nikiwa nimekaa zangu ofisini mara ghafla likaja wazo ninamfanyia nini babe wangu japo hata kidogo ila mradi kizawadi.
Baadae nimendelea na majukum saa tisa ikafika nikaamua kupita zangu Mlimani City nikaona mkoba mmoja mzuri na yeye anapenda mkoba. Nikaona isiwe tabu acha nijimwambafai kwa hili kubwa (sio dogo).
Nimeulizia ule mkoba nikaambiwa ni 65,000/=. Nikataka kufungua walleti nilipie mara Moyo wangu ukaanza kuniambia kwa ndani "Wewe, kumbuka kuwa kuna kuachana”. Nikagundua kuwa akili yangu ina ushirikiano mzuri.
Kila idara inawasiliana na idara nyingine. Baada ya hapo nikavunga nimepokea meseji ya mgonjwa nikamwambia dada rudisha mkoba mwanangu yupo hospitali anaumwa wakati hata mtoto sina.
Ndio hivyo wazee, leo ukiwa unamnunulia mpenzi wako Zawadi kumbuka kuna kupigwa kibuti.
Sasa hivi naelekea zangu home Mwananyamala sifanyi upuuzi tena.
Nitamtoa out tukale nyama choma na tunyanduane basi mambo ya mizawadi mikubwa asubiri nikimuweka ndani.
Ahsante sana akili yangu umeniokoa.
Happy dude