Usiombe ukutwe na hii hali

Omesk

Member
Jan 24, 2020
34
232
Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan.

Mme wangu siku hiyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike.

Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen.

Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi.

Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao

Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
 
Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi

Kunywa maji lala, pumzika zako, tulia, utaja kufa kwa pressure bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumleta mfanyakazi mwenzie wa kike aje apumzike chumba chenu cha wageni ni dharau za kiwango cha lami.

Hapo kuna uwezekano wa 99.99% kwamba huyo ni mke mwenzio.

Taratibu za kazi ni kwamba kama unaumwa basi unapewa ruhusa unaenda hospitali kisha ukigundulika unaumwa basi wanakupa ED.

Hiyo ya kumleta aje apumzike sio kweli hapo walikuwa wanajiandaa kulana sema ukawashitukiza.

Unforgetable
 
Pole mpendwa katika kristu ila nasikitika kusema kuwa mmeo sio husband ni KIMBURU
Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumleta mfanyakazi mwenzie wa kike aje apumzike chumba chenu cha wageni ni dharau za kiwango cha lami.

Hapo kuna uwezekano wa 99.99% kwamba huyo ni mke mwenzio.

Taratibu za kazi ni kwamba kama unaumwa basi unapewa ruhusa unaenda hospitali kisha ukigundulika unaumwa basi wanakupa ED.

Hiyo ya kumleta aje apumzike sio kweli hapo walikuwa wanajiandaa kulana sema ukawashitukiza.

Unforgetable
Anadai alikua anatoka maabara kupima akaamua apite kutusalimia ndio kichwa kikamzidia akaomba apumzike
 
Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
New hamida tuliza moyo si unajua ile biringanya ni dawa ? Acha apewe dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumleta mfanyakazi mwenzie wa kike aje apumzike chumba chenu cha wageni ni dharau za kiwango cha lami.

Hapo kuna uwezekano wa 99.99% kwamba huyo ni mke mwenzio.

Taratibu za kazi ni kwamba kama unaumwa basi unapewa ruhusa unaenda hospitali kisha ukigundulika unaumwa basi wanakupa ED.

Hiyo ya kumleta aje apumzike sio kweli hapo walikuwa wanajiandaa kulana sema ukawashitukiza.

Unforgetable
Acha uchochezi unatumiwa na mabeberu kuleta uvunjifu wa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikaze mama ila nikushauri ki2 kimoja kabla hujafanya maamuzi kumbuka na wanao kwanza. Uwe na ucku mwema.
 
Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
Hahahah..! Wacha ajilie valentine wake

Linda nyumba wezi wasije wakaiba..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom