Huyu mwanamke anataka anifanye rafiki tena

Huyu mwanamke anataka anifanye rafiki tena

Grau

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
4,828
Reaction score
4,740
Naleta mrejesho wadau yule mwanamke alyedai ananipenda saivi ananiambia tuwe marafiki, na mm nkamjib mm urafik siwez, et akanijib kama huwez mmoja akubali kuumia namm nkamjib mimi nipo tayar kuumia. Yaan hapo tulkuw tumemalza it means kwamba kila mtu achukue time zake chakushangaza ananipgia mara kwa mara mi simuelewi anataka nn tena wakat tumemalzana kila mtu achukue time zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom