Swali kwa wanandoa

Swali kwa wanandoa

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,843
Reaction score
10,765
Hivi kwanini wanawake wengi walioolewa hawataki kabisa kujionyesha hivyo badala yake utakuta wanapost picha ZOTE ama wakiwa na marafiki zao, ama peke yao, ama na watoto kama vile ni ma single mother?

Zaidi sana utakuta ambaye kaolewa na TAJIRI ama SUPER STAR ndio atajaza picha za mpenzi wake kwenye akaunti yake.

Kuna siri gani hapo?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hivi kwa nini wanawake wengi walioolewa hawataki kabisa kujionyesha hivyo badala yake utakuta wanapost picha ZOTE ama wakiwa na marafiki zao, ama peke yao, ama na watoto kama vile ni ma single mother? Zaidi sana utakuta ambaye kaolewa na TAJIRI ama SUPER STAR ndio atajaza picha za mpenzi wake kwenye akaunti yake. Kuna siri gani hapo?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kwanza nunua iPhone au Samsung. Hii unayotumia haionyeshi maelezo vizuri. Ukitaka nyuzi zako zisomeke jf tumia iPhone au Samsung. Hicho kitochi unachotumia kinakufanya usieleweke.
 
Kweli wewe deceiver!!

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mume ni bidhaa adimu sana kwa mwanamke aliye katika ndoa hivyo siyo wa kuonyeshwa ovyo kwa kila mtu kama bidhaa za sokoni.
Mke ndio wa kufichwa bana. Kwani anayeolewa ni nani? Kweli dunia inakwenda kinyumenyume, ndio maana wanaume wanalilia kubaki ndani wanawake wanazurura kutwa kucha kutafuta

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Wanaume wengi huwa against social media s kwa wake zao, hivyo hawapendi kupostiwa
 
Kwanza nunua iPhone au Samsung. Hii unayotumia haionyeshi maelezo vizuri. Ukitaka nyuzi zako zisomeke jf tumia iPhone au Samsung. Hicho kitochi unachotumia kinakufanya usieleweke.

duuh.....
 
Mke ndio wa kufichwa bana. Kwani anayeolewa ni nani? Kweli dunia inakwenda kinyumenyume, ndio maana wanaume wanalilia kubaki ndani wanawake wanazurura kutwa kucha kutafuta

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ukiona mke anakuweka sana kwenye social media jua anajinadi kwa rafiki zako na lazima achepuke nao!
 
Hivi kwanini wanawake wengi walioolewa hawataki kabisa kujionyesha hivyo badala yake utakuta wanapost picha ZOTE ama wakiwa na marafiki zao, ama peke yao, ama na watoto kama vile ni ma single mother?

Zaidi sana utakuta ambaye kaolewa na TAJIRI ama SUPER STAR ndio atajaza picha za mpenzi wake kwenye akaunti yake.

Kuna siri gani hapo?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Wanaogopa kuibiwa waume na rafiki zao au ndugu wa rafiki zao. Vilevile Wanaume wengi hatupendi kupigwa picha na kupostiwa katika social media bila sababu ya msingi
 
Mke wa kupost post picha kwenye mitandao bila kujali zake au zangu tutashindwana.
 
Ukiona mke anakuweka sana kwenye social media jua anajinadi kwa rafiki zako na lazima achepuke nao!
Sio kweli, rafiki zangu atawajulia wapi

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Wanaogopa kuibiwa waume na rafiki zao au ndugu wa rafiki zao. Vilevile Wanaume wengi hatupendi kupigwa picha na kupostiwa katika social media bila sababu ya msingi
Nimekusoma vema mkuu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kama unamiliki mali na kazi pia unaiweza vizuri,atakuweka kwenye ukurasa wake kwa sababu anajiamini amepata mwanaume wa ndoto zake;tofauti na hapo ni sawa na maji kupanda mlima.
 
Back
Top Bottom