Wasalaam wote humu. Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye simulizi.
Ilikiwa ni mwishoni mwa miaka ya 1990, sekondari moja hukoo... Nikiwa A level boarding. Sasa akawepo dada mmoja binti mrembo...
Ivi inawezekana kwa mwanamke aliyeachwa na mume wake kwa zaidi ya mwaka mmoja asiwe amefanya ngono na mwingine kwa muda wote huo kweli? Tupeni uzoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua unampenda sana yule kijana, na yeye pia kwa mwonekano anaonekana anakupenda kweli ila nakuomba umalize kwanza shule ndipo uamue kuolewa.
Maisha kipindi cha uchumba huwa sio maisha halisi...
My age 30,mwajiriwa ,christian, 9 years experience in relationship so if your trouble maker automatically I will notice you .for serious conversation plz if ur interested pm me only one woman...
Salaam waungwana
Nipo na mwanamke kwa miaka 8 tumezaa watoto wawili
Kimaisha tunaishi mbalimbali,huyu mwanamke bado hatujafunga ndoa
Siku za hivi karibuni alipokea taarifa kutoka kwa majirani...
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu...
Habari wana JF
Suala la kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni suala la msingi sana katika maisha ya kila mwanadamu.
Kuna muda kupata mtu wa kuwa nae kwenye mahusiano inakuwa ni changamoto kubwa...
Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha.
Siku mbili tatu zilizopita nilipata changamoto kidogo za kiuchumi kutokana na mambo ya ujenzi, wajuzi wanasema zege halilali.
Nikajishauri...
Dah aseee wanajf nilikuwa juzi natokea mitaa ya afrikasana hapa mjini daslam mida ya alfajiri nilikuwa na gari ya boss wangu aina ya mercedes ndogo napeleka carwash fulani hapa afrikasana sasa...
Habar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi.,
Kama tujuavyo mabaharia tunapita na wengi kimasihara, sasa Ktk ptpt zangu nikapata zawadi ya mtoto nje ya ndoa, mama wa uyu mtoto hana maisha...
Kwenye kipindi cha "Leo Tena" clouds dr Mwaka kasema kwamba kuna mda analala na wake zake wote chumba kimoja.
Wake zake wameonesha kupendana kweli japo kwa kawaida wake wenza huwa wana visa vya...
Mzuqa wanajamvi,
Tafiti uchwara zinadai
Yani natumia muda mwingi sana gym kila siku kumantain six-pack zangu lakini hawa watafiti uchwara kutoka Luton na Cambridge, vyuo vinavyoheshimika...
Mapenzi motomoto kila mmoja akijitahidi kuonesha upendo kwa mwenzie. Furaha iliyoje kujua mpo wawili tu, si unajua kuvaa jezi nyingi inavyochosha?
Basi siku isiyo na jina nikajisemea hebu insta...
Wakuu mambo vipi..
Kwa wanaume mliopo kwenye ndoa , embu nipeni maujanja ya kuto kuichoka papuchi ya wake zenu,
Maana kuna kesi nyingi nazisikia za wanaume kuwa kuna kipindi unaichoka papuchi...
Ni miezi minne sasa wife kitandani tunapishana sana. Yaani hataki tulale kwa kutazamana. Ukimwomba mtazamane mkali Kama mbogo! Najaribu kumuliza Kama nimemkosea, hajibu. Hii hali mpaka inapelekea...
Without wasting much time, roll with me as i bring you the types of prostitutes.
1. Local Prostitutes
These are the types of prostitutes my Yoruba friends calls "sarewa" meaning "rush come"...
Wakuu habarini za asubuhi na kwa wale wenzangu nawatakia ibada njema kabisa.
Jamani wanaume naomba tukumbushane jambo la kuwa karibu,kuwajali hawa maua ya dunia,maana bila hivyo kumwegwa ni dk 0...
Habari poleni na majukumu,ya ujenzi wa taifa .Naenda straight to the point kwamba Mimi ni kijana miaka ishirini na nne lakini nimekuwa kila nikaaproach mwanamke sometimes nakataliwa sometimes...
Ilikuwa ni asubuhi nikiwa nimetoka nje kuota jua na kupunga upepo uliokuwa ukipuliza vyema na kufanya hali ya hewa kuwa ya kuvutia zaidi. Nilitazama ndege jinsi wakikatiza kwenye anga na sauti zao...