Najiuliza tu jamani

walikuepo zamani sio sasa, hivo kama ulimuacha mkeo kwa mda huo ujue umeshachapiwa mara kibao tu hivo kubali tu matokeo maisha yaendel33
 
Ivi inawezekana kwa mwanamke aliyeachwa na mume wake kwa zaidi ya mwaka mmoja asiwe amefanya ngono na mwingine kwa muda wote huo kweli? Tupeni uzoefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli kabisa ni kwamba inawezekana sana tu.
Ukweli mwingine ni kwamba, mwanamke akiwa anakutajia kuhusu kufanya mapenzi atakuelezea ile ya mahusiano yake ya serious.
Forget about hizi kuliwa kimasikhara ambazo ndo nyingi. Utaua na hatosema
My advice: You really don't wanna know! Move on
 
Huko kuliwa kimashihara Kuna mida unaweza ukasahau...ndo maana tunakumbuka mahusiano serious mara nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom