Naombeni mnipe mbinu ya kutopoteza hamu ya kushiriki kimapenzi na mke wa ndoa

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Wakuu mambo vipi..

Kwa wanaume mliopo kwenye ndoa , embu nipeni maujanja ya kuto kuichoka papuchi ya wake zenu,

Maana kuna kesi nyingi nazisikia za wanaume kuwa kuna kipindi unaichoka papuchi ya mke wako, yani una gegeda tu kama jukumu lako tu , ila kiukweli umeizoea , na hauna hata mzukha nayo kabisa.

Sasa mimi natarajia kuingia kwenye ndoa soon mungu akipenda na sitaki kuchepuka ..

Ila hiyo hali ya kutokuwa na hamu na papuchi ya mkeo inakuwaje?? And how to get rid out of this scenario??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sikilizaa!!!

Sikiliza nikuambiee!!!

Hata mwanamke awe mzuri kiasi gani basi jua ya kuwa kuna wakati hamasa inakuisha sio kwa sababu amechoka no.ila kwa sababu ndo maumbile yetu wanaadamu tulivyo tunaridhika.

Wewe utashangaa mtu kakaa na mkewe miaka 10 anamuona wa kawaida ila utashangaa kuna mtu huko nje anamtongoza ama anammaind ilhali ya kuwa mume anamuona kawaida.

Hayo ndo maumbile.

Sasa ili usiichoke papuchi kwanza ujue ya kuwa binadamu maumbile yake kuna kuridhika,kutosheka na kukinai lazima ukubali huu ukweli.

Alafu pili fanya kama tendo la Ndoa ni sehemu ya ndoa yetu na sio ndoa yenu nzima unaweza kukaa baada ya siku mbili au tatu unapiga mzigo,sio unapiga kila siku hata kama huihitajii.

Alafu pia lazima ukubali kuwa kuna vitu vinaleta utamu zaidi katika tendo jizatiti kula vitu ambavyo vitakuongezea hamu ya tendo usisahau.

Watu wanakula maugali kila siku alafu wanataka wapate ladha ya tendo no.we jewekee ratiba yako kuwa kila siku unapata jusi ya tende na maziwa huku kifungua kinywa kikiwa kitunguu saumu akiongozwa na chai ya tangawizi.

Kwa ufypi.

Kula vyakula vya asili.

Kubali kuwa kukinai kupo hata mwanamke awe mzuri vipi akiwemo mkeo.

Usikamie tendo fanya kwa afya hata mara tatu kwa wiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe bado haujakuwa...na kama ni ndoa usiingie sasa hivi subir upevuke kifikra kwanza....

Ungejibu kutokana na topic, ingekuwa vizuri zaidi..

Maana tupo humu kuelekezana..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dogo hujakua, unadhani ndoa ni kula papuchi tu.
Kuna mambo mengi sana ndani ya ndoa na mikasa ya kutosha! Hata muda wa kuiwaza papuchi hupati.
 
Kinachotokea ni hichi,

Wimbi la wanawake/wanaume kuzoea ndoa linazidi kuongezeka kila kukicha na kila aingiae kwenye doa huizoea mapema pia na kuacha utekelezaji wa majukum yake km mume/mke

Mfano mzuri mkiwa ktk mahusiano ya kawaida kila mmoja anajimwambafai kutokuzidiwa na mwenzie ktk swala zima la Swangrat na kuwa fundi ili amkoshe mwenzie ,ila baada ya ndoa kinachofuata Mara nyingi ni kujisahau na kujifanya kila mmoja yuko bz na Kaz au majukum hvyo inapofikia wakat wa jambo lile linafanywa kawaida Sana na pengine kwa style moja tu Kisha wanalala

Hapo ndo kuichoka kunapokuja na pengine mwanaume huhis kuwa uzuri wa mkewe umepotea na hii husababishwa na wanawake kutojiremba kwaajili ya waume zao na badala yake kujiweka kawaida mpk mume kuhis kuwa mkewe ni mbaya au kachuja ,
Ikumbukwe yakwamba urembo kwa mwanamke ni jambo la Kwanza ambalo humvuta kihisia mwanaume na akamtamani mwanamke ,hvyo mwanamke akiwa rafu hii pia huondoa mvuto na hisia za mwanaume (kuichoka pia hapa kumo)

Nadhani nimeeleweka kwa kiasi hapo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo hujakua, unadhani ndoa ni kula papuchi tu.
Kuna mambo mengi sana ndani ya ndoa na mikasa ya kutosha! Hata muda wa kuiwaza papuchi hupati.

Najua kuna mambo mengi, mimi nimegusia kwenye papuchi..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kinachotokea ni hichi,

Wimbi la wanawake/wanaume kuzoea ndoa linazidi kuongezeka kila kukicha na kila aingiae kwenye doa huizoea mapema pia na kuacha utekelezaji wa majukum yake km mume/mke

Mfano mzuri mkiwa ktk mahusiano ya kawaida kila mmoja anajimwambafai kutokuzidiwa na mwenzie ktk swala zima la Swangrat na kuwa fundi ili amkoshe mwenzie ,ila baada ya ndoa kinachofuata Mara nyingi ni kujisahau na kujifanya kila mmoja yuko bz na Kaz au majukum hvyo inapofikia wakat wa jambo lile linafanywa kawaida Sana na pengine kwa style moja tu Kisha wanalala

Hapo ndo kuichoka kunapokuja na pengine mwanaume huhis kuwa uzuri wa mkewe umepotea na hii husababishwa na wanawake kutojiremba kwaajili ya waume zao na badala yake kujiweka kawaida mpk mume kuhis kuwa mkewe ni mbaya au kachuja ,
Ikumbukwe yakwamba urembo kwa mwanamke ni jambo la Kwanza ambalo humvuta kihisia mwanaume na akamtamani mwanamke ,hvyo mwanamke akiwa rafu hii pia huondoa mvuto na hisia za mwanaume (kuichoka pia hapa kumo)

Nadhani nimeeleweka kwa kiasi hapo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Safi sana mkuu, nimekuelewa vizuri, kwahyo ni jinsi tu mwanamke anavyo tengeneza mazingira ya kumvutia mwanaume, ndio hivyo urembo nk..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sikilizaa!!!

Sikiliza nikuambiee!!!

Hata mwanamke awe mzuri kiasi gani basi jua ya kuwa kuna wakati hamasa inakuisha sio kwa sababu amechoka no.ila kwa sababu ndo maumbile yetu wanaadamu tulivyo tunaridhika.

Wewe utashangaa mtu kakaa na mkewe miaka 10 anamuona wa kawaida ila utashangaa kuna mtu huko nje anamtongoza ama anammaind ilhali ya kuwa mume anamuona kawaida.

Hayo ndo maumbile.

Sasa ili usiichoke papuchi kwanza ujue ya kuwa binadamu maumbile yake kuna kuridhika,kutosheka na kukinai lazima ukubali huu ukweli.

Alafu pili fanya kama tendo la Ndoa ni sehemu ya ndoa yetu na sio ndoa yenu nzima unaweza kukaa baada ya siku mbili au tatu unapiga mzigo,sio unapiga kila siku hata kama huihitajii.

Alafu pia lazima ukubali kuwa kuna vitu vinaleta utamu zaidi katika tendo jizatiti kula vitu ambavyo vitakuongezea hamu ya tendo usisahau.

Watu wanakula maugali kila siku alafu wanataka wapate ladha ya tendo no.we jewekee ratiba yako kuwa kila siku unapata jusi ya tende na maziwa huku kifungua kinywa kikiwa kitunguu saumu akiongozwa na chai ya tangawizi.

Kwa ufypi.

Kula vyakula vya asili.

Kubali kuwa kukinai kupo hata mwanamke awe mzuri vipi akiwemo mkeo.

Usikamie tendo fanya kwa afya hata mara tatu kwa wiki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiongozi , big up sana, hapo kwenye swala la kula vyakula vya kuongeza hamu ya tendo, nimekupa vizuri mno, nitalifanyia kazi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu mambo vipi..

Kwa wanaume mliopo kwenye ndoa , embu nipeni maujanja ya kuto kuichoka papuchi ya wake zenu,

Maana kuna kesi nyingi nazisikia za wanaume kuwa kuna kipindi unaichoka papuchi ya mke wako, yani una gegeda tu kama jukumu lako tu , ila kiukweli umeizoea , na hauna hata mzukha nayo kabisa.

Sasa mimi natarajia kuingia kwenye ndoa soon mungu akipenda na sitaki kuchepuka ..

Ila hiyo hali ya kutokuwa na hamu na papuchi ya mkeo inakuwaje?? And how to get rid out of this scenario??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kuishi kijima tu kama mtu alikuwa ananyoa akija kwako, anapendeza, anakuvalia nguo nzuri ila ukishamuoa home anakuvalia nguo mbovu zimetoboka, chafu chafu, hanyoi kisa yuko home . Hiyo hamu utatoa wapi ???? Hata supu inawekwa pilipili na limao kuongeza ladha ndo iwe ndoa ?

Kumbuka hata ww kwa sasa unatumia uongo, kujifanyiza ni msafi kama kuvaa boksa nyeupe safi nk kumbe siii kweli, sasa mkifika ndani mnaishi uhalisia wenu kitu kinacholeta shombo, uvundo na kukatisha hamu zoooote . Kwa sasa utajitahidi kwenda gym kidogo kumantain mwili kifua kidoo, tumbo flat nk ila ikishaoa pooooh tumbo tumbo, tambi tambi wooote kama pipa la taka haujui tako la mkeo liko wapi na kuishia wapi kila kitu mviringo. Utamu utatoka wapi ???
Nk

hapo kwenye gym umenigusa, ila sina kitambi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom