Vituko vya mama mwenye nyumba nimevichoka

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa marafiki lakini bado sikupata jibu.
Kinachoniumiza zaidi ni pango nimelipia mwaka mmoja na tangu nihamie nimekaa mwezi na wiki mmoja.

Naombeni ushauri jamani nifanyeje ili kuepukana na huyu shetani mwenzeni nina hofu ya Mungu.
 
Dah kweli tupo tofauti sana, sasa kama ujui cha kufanya kwenye maamuzi mepesi kama hayo je yale magumu siutalia mji mzima mkuu
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa marafiki lakini bado sikupata jibu.
Kinachoniumiza zaidi ni pango nimelipia mwaka mmoja na tangu nihamie nimekaa mwezi na wiki mmoja.

Naombeni ushauri jamani nifanyeje ili kuepukana na huyu shetani mwenzeni nina hofu ya Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama unahofu ya mungu samehe kodi ilobaki uondoke/ukimuona kimbia or upige kelele
ila ningekua mimi ningemtafutana akatulizana kisha akawa mtetezi wangu nikikosa kodi
 
Mkuu huyo mama itakuwa ndio mbinu zake za dhuluma
Mana utasusa uachie nyumba uache na kodi
Na ukisema umkule ukute ni kambinu na mumewe pia kitakachotokea ile anazama ndani mumewe huyooo(mjini mipango) hapo ndo utafukuzwa na unaweza amrishwa kuacha kila kitu(fumanizi tena)

Sasa ww ukijilegeza tu umekwisha cha kufanya mkazie na mrekodi kila mkiongea ,, kisha mwambie namwambia mumeo
Ukiona hatetereki wala haachi kukusumbua jua ni mbinu yao ,utakachofanya cha mwisho kwa kuwa unaushahidi utaenda serikali za mtaa utamshtaki na kurudishiwa kodi yako na gharama ya kuhamisha vitu uhame

Usikubali manyanyaso ya kingono
Kuna watakao kubeza ila ni haki yako kufanya kwa ridhaa yako si kushinikizwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una hofu ya Mungu kimbia hiyo dhambi.
Au hofu yako kwa Mungu ipo kimaneno tu? Ila kimatendo ni dhaifu tu?

Dhambi kwa mke wa mtu ikikugeuzia kibao ni kukuaibisha au kukuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa marafiki lakini bado sikupata jibu.
Kinachoniumiza zaidi ni pango nimelipia mwaka mmoja na tangu nihamie nimekaa mwezi na wiki mmoja.

Naombeni ushauri jamani nifanyeje ili kuepukana na huyu shetani mwenzeni nina hofu ya Mungu.

Hama kwani nyumba yako
 
Nimejaribu kufuatilia nyuzi zako na nimegundua kuwa unashida mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_6462.JPG
IMG_6463.JPG
IMG_6464.JPG
IMG_6465.JPG
 
Back
Top Bottom