Wanaume wenzangu mnapata wapi ujasiri wa kuishi ukweni

Wanaume wenzangu mnapata wapi ujasiri wa kuishi ukweni

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,742
Reaction score
1,743
Asalaam Aleykum waungwana

Kiukweli nimejiuliza sana
1. Utumie choo kimoja na wakwe
2. Uangalie TV moja na mkwe
3. Ulalie godoro la mkwe atleast kwa wiki 1
4. Ule chakula ukweni kwa raha tu tena uongeze
5. Sometimeuendeshe gari la mkwe ukapige nalo misele

Ujasiri huu unatoka wapi? Yaani nimekaa ukweni masaa matatu nikahisi kama nipo mahabusu ndogo.

Wanaume wenzangu mnatumia nini hadi mnapata ujasiri wa kuishi ukweni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moderator msiunge uzi huu bila kuniconsult

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kuna baadhi ya wanaume kwao ni poa tu hasa hawa wa kizazi cha sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongelea upande mmoja wa mwanaume kuishi ukweni mbona hukugusia mkwe(hasa mama mkwe)kuja kuishi na mkwe wake wa kiume? Mkwe akienda chooni mama mkwe kasimama pembeni anasubiri na yeye aingie, akiingia chumbani na mkwe mama mkwe anagonga mlango anamwita mwanae, mama mkwe akiingia kulala anaacha mlango wazi ili hawa iingie wakati China chenyewe kipo mlango wa kutokea. Hii nayo ipoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
FB_IMG_15791389499539015.jpeg
FB_IMG_15796238425472309.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mpishano wa mila kwa kila jamii, humu JF wengi tunajisifu kutoka kwa wazazi na kupanga gheto hata Kama kipato Cha kawaida, lakini tazama MO dewji bado anatoka kwa wazazi wake. Binafsi ba mkwe awe na neema ya nyumba kadhaa, nakaa vizuri tu
 
Huo ni wivu tu, inategemea na tamaduni za wahusika. Kama kwao ni sawa haina tatizo lakini tunaoshangaa wengi ni wale ambao hatujazoea hizo taratibu lakini sio jambo baya kama tamaduni/taratibu zinaruhusu.
 
Asalaam Aleykum waungwana

Kiukweli nimejiuliza sana
1. Utumie choo kimoja na wakwe
2. Uangalie TV moja na mkwe
3. Ulalie godoro la mkwe atleast kwa wiki 1
4. Ule chakula ukweni kwa raha tu tena uongeze
5. Sometimeuendeshe gari la mkwe ukapige nalo misele

Ujasiri huu unatoka wapi? Yaani nimekaa ukweni masaa matatu nikahisi kama nipo mahabusu ndogo.

Wanaume wenzangu mnatumia nini hadi mnapata ujasiri wa kuishi ukweni?

moderator msiunge uzi huu bila kuniconsult

Sent using Jamii Forums mobile app
Pilipili iko shamba inakuwashaje?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom