Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasalamu Wanajamvi... Kweli kaa kwenye nyumba za kupanga uone mengi. Leo kuna jambo nimeliona nikashindwa kuelewa kama limetokea kwa sababu ya heshima au kwasababu ya mapenzi yaliyopo kwa Wapenzi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Soma kisha tazama video hiyo hapo chini... Ni maandamano ya wanawake walio uchi kabisa... Kiswahili wanasema uchi wa mbuzi au uchi wa mnyama... Maandamano yao yana ujumbe na kilio kimoja tu...
27 Reactions
364 Replies
57K Views
Kuna msichana nilikuwa nachat naye kama miezi mitatu sasa, simfahamu kabisa nilipewa namba yake sababu nilikuwa na project iliyokuwa inahitaji wadada , ila bahati mbaya kumbe kwa muda huo alikuwa...
10 Reactions
94 Replies
8K Views
Kuna kipindi nilipataga Job stationery. Kuna siku mida ya mchana ilikuja gari ya jeshi akashuka kijana mwanajeshi na ameshika kibahasha chake. Akauliza vipi mnafanya laminations ya vyeti? Nikajibu...
13 Reactions
34 Replies
10K Views
Jambo wakuu Yapata mwaka sasa tangu nisitishe mahusiano na huyu binti na hii yote alisababisha yeye, ukimwambia hivi anajibu vile, ukimwambi sina hicho kiasi cha pesa ananuna mara tukawa tukitoka...
11 Reactions
210 Replies
21K Views
Baada ya miaka karibu 8 bila mtoto mfanyabiashara mmoja nchini Zambia aliamua kufanya maamuzi magumu. Ilikuwa mwaka 2014 ndipo mfanyabiashara huyo akakubaliana na mkewe kuwa mlinzi wao wa getini...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wapendwa wangu MMU, Jukwaa hili lilikuwa manufaa sana kwangu wakati wa kujiandaa kuingia kwenye ndoa mpaka sasa nikiwa kwenye ndoa na furaha zote....those practical experiences you shared are of...
4 Reactions
32 Replies
32K Views
Watu wengi hawapendelei mahusiano ambayo mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mwanaume. Mwanamke mwenye umri mkubwa anayetaka kutembea na vijana wadogo, kwa kiingereza huitwa Cougar, lakini wao hawana...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nikiwa na lepe la usingizi naandika uzi kama ifuatavyo Wanawake ni chombo cha utajiri sema hujui jinisi gani ya kukitumia kuvuna utajiri ila unajua jinisi ya kukitumia kam chombo cha anasa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwako Diana Kipenzi cha Moyo wangu, Mpenzi mwandani mahabubu Naanza kwa kukuomba samahani Kuandika kwa lugha hii legevu Nilijaribu lakini sikuweza Kuyasarifu maneno matamu Kwa lugha muafaka ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ulishawahi kukutana na hali hii? Yaani unanmtongoza KE,anakukataa kwa maneno makali na kashfa,unajiondokea maeneo hayo kwa aibu na fedheha,inapita siku,wiki,mwezi na hata miaka.Anakua anakutazama...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
Siku moja nikiwa nimepata safari ya dharura, nikamuaga binti nilokua nimekamilisha taratbu za kumuoa... Nikiwa ndani ya gari ikaingia txt ikisema "ntakuja geto lakn usinilazimishe yale mambo...
17 Reactions
104 Replies
11K Views
Kuna kauzi kinamzungumzia bwana chedi ambaye kwa sasa ni marehemu alioa single mother, nilikuwa naomba kujua story ya huyu jamaa ili wengine tupate kujifunza
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Heloo!!! Ndoa nyingi siku hizi zinavunjika! Zinavunjika kwa sababu upande mmoja una feel hauwezi kubeba jukumu la ndoa! Kwa nini? Kwa sababu vijana wanaoa kama fashion, kuiga, kutafuta hadhi na...
15 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wanajamvi. Kama linavyojieleza swali hapo juu. Swali Hilo ningependa nilielekeze kwa sisi vijana jisia ya kiume. Unapokua katika mahusiano na msichana ambae unamalengo ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kazi kweli Kweli.. jumlishia na corona virus kichwa inaeza pasuka[emoji23] ilikuwaje Siku unachezea ban Kwa Mpenzi wako Alie kuwa anaku Affords Kila kitu? Maisha Yako yalikuwaje kwakipindi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
nakumbuka miaka ile y 90s niko zangu bush uko harakati kama zote. one day natoka shule na mdada flani tufanye jina x. akasema anaumwa sana na anajikia vibaya kinoma kinoma. mzee nikaingia zangu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habar za jumapil Wapendwa samahan Kama nawachosha na maisha yangu binafsi naombeen mnisamehe nimapito tu ambayo ipo siku yatakua historia Ipo hivi nimefanikisha kuachana na jamaa nimerudi nyumban...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wananzengo tuelezane tuu ukweli, hakuna raha kama kumshuhudia mwanamke mnayetanangana naye akifika kileleni. Hivi utajiitaje kidume kama umepiga mtanange na mwanamke then atoke hajaona kibo na...
2 Reactions
48 Replies
10K Views
Miaka mingi kidogo tulitafuta kijana wa kusaidia shughuli nyumbani. Bi mkubwa alitaka kujana wa kiume kwakua mara nyingi si wajeuri kwa maelezo yake. Kibaruani kwangu nilikutana na waajiriwa wa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…