USHOGA: Hali ni mbaya sana Ulaya. Je, Afrika tutapona?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,552
Soma kisha tazama video hiyo hapo chini... Ni maandamano ya wanawake walio uchi kabisa... Kiswahili wanasema uchi wa mbuzi au uchi wa mnyama...

Maandamano yao yana ujumbe na kilio kimoja tu... WANAHITAJI WANAUME lakini hakuna kwakuwa wengi wao wamegeuka kuwa MASHOGA na kuamua kuoana wao kwa wao
Unaweza kudhani ni jambo la kawaida ama la kuchekesha lakini hiyo ndio hali halisi... Habari za haki za binadamu zikipewa kipaumbele kisichostahili.... Haya ndio matokeo yake....

Afrika tutapona kweli? Nchi kama Afrika kusini tayari imesharibika pakubwa.. Mashoga na vitendo vya kishoga si jambo geni tena.... Habari za kulawitiana kule sio jambo la kujadili... Hizo habari zimepewa hadhi ya mambo binafsi....!!!

Tayari Ulaya imesharibika kabisa.... Hakuna WANAUME rijari tena... I mean asilimia kubwa wamegeuka kuwa Mashoga....miaka 30 ijayo Africa itakuwaje?

Wenye watoto wa kiume tuwaombee sana na tuwape malezi yawapasayo....

Aamen....!!!!

Na sisi ndipo tunapoelekea na hizo haki sawa, subiri...... Si mfumo dume tatizo, ngoja tuutokomeze kwa bidii kabisa, kila uchao tukimkandamiza mtoto wa kiume na kumpandisha mtoto wa kike halafu tuone matokeo yake....

Kinondoni tayari mambo yameshaanza kujibu
 
kinondoni tayari uko
 
Back
Top Bottom