Mapenzi kazini yalivyonigharimu

Sham777

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
334
836
Kuna kipindi nilipataga Job stationery. Kuna siku mida ya mchana ilikuja gari ya jeshi akashuka kijana mwanajeshi na ameshika kibahasha chake. Akauliza vipi mnafanya laminations ya vyeti? Nikajibu ndio Bro huku nachati zangu full ka smile kwa mbali. Nikapokea bahasha nikatoa Cheti, nikawasha mashine ya lamination ikawa inaendelea kupata Moto nikaweka Cheti.

Ghafla akatokea mdada duka la jirani (crush) ameshika kitambulisho anataka nikitoe Copy (hela ya fasta fasta)
Nikachukua ile namalizia kutoa copy naona lamination machine inatoa moshi. Kumbe Cheti cha jamaa kilikuwa kinaungua upande mmoja moto wa mashine ulizidi. Ile faster kuwahi kuzima na kukitoa Cheti kimeshabaki nusu. Jamaa Akauliza Dogo umefanya nini? Nikajibu samahani Bro.

Crush umeniponza!
Jamaa alikuwa anauliza sio kwamba ameona Cheti chake kimeungua yeye aliona moshi tu na alikuwa hajui kinacho endelelea sababu upande alio kuwa amesimama umetenganishwa na kabati ila jibu langu ndio lilimpa moto kidogo. Alihisi nimeomba msamaha sababu ya kumchelewesha yeye na kuanza kumuhudumia mtu mwingine..

Akajibu haina tatizo fanya faster tuna haraka kesho tunasafiri.

Najua kila mtu anafahamu kilicho endelea. Hii kitu omba itokee kwa mwenzako na sio kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nimecheka hapa!!!😂😂😂
 
Siku nyingine ukome, alafu ulivyosema mapenzi umemaanisha huyo crush wako ambae hata hajui kama unakuwa chizi kisa yeye??
 
Kuna kipindi nilipataga Job stationery. Kuna siku mida ya mchana ilikuja gari ya jeshi akashuka kijana mwanajeshi na ameshika kibahasha chake. Akauliza vipi mnafanya laminations ya vyeti? Nikajibu ndio Bro huku nachati zangu full ka smile kwa mbali. Nikapokea bahasha nikatoa Cheti, nikawasha mashine ya lamination ikawa inaendelea kupata Moto nikaweka Cheti.

Ghafla akatokea mdada duka la jirani (crush) ameshika kitambulisho anataka nikitoe Copy (hela ya fasta fasta)
Nikachukua ile namalizia kutoa copy naona lamination machine inatoa moshi. Kumbe Cheti cha jamaa kilikuwa kinaungua upande mmoja moto wa mashine ulizidi. Ile faster kuwahi kuzima na kukitoa Cheti kimeshabaki nusu. Jamaa Akauliza Dogo umefanya nini? Nikajibu samahani Bro.

Crush umeniponza!
Jamaa alikuwa anauliza sio kwamba ameona Cheti chake kimeungua yeye aliona moshi tu na alikuwa hajui kinacho endelelea sababu upande alio kuwa amesimama umetenganishwa na kabati ila jibu langu ndio lilimpa moto kidogo. Alihisi nimeomba msamaha sababu ya kumchelewesha yeye na kuanza kumuhudumia mtu mwingine..

Akajibu haina tatizo fanya faster tuna haraka kesho tunasafiri.

Najua kila mtu anafahamu kilicho endelea. Hii kitu omba itokee kwa mwenzako na sio kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikabidi akukule kufidia machungu ya cheti mkaanzisha mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikukula kimasihara.... Uache tamaa maliza lamination toa copy

Either way you earn what you deserved

Sent using Samsung s10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom