Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Wapendwa wangu MMU,
Jukwaa hili lilikuwa manufaa sana kwangu wakati wa kujiandaa kuingia kwenye ndoa mpaka sasa nikiwa kwenye ndoa na furaha zote....those practical experiences you shared are of great value
Leo nakuja kivingine....Ni "matokeo" ya ndoa yangu
Mungu amenijaalia na mke wangu ni mjamzito (a.k.k.k.a. Mama Kijacho) sasa akiwa anaelekea miezi 6..... and you know what?..... I can't wait to be called "Daddy" for the first time..looo
And I'm still wondering, ni mambo gani muhimu ya kujiandaa kwa ajili ya kupokea kichanga? Japo imebaki miezi kama mitatu hivi lakini natamani nifanye maandalizi yote muhimu mapema wakati wa ujio wake nisitetereke......Huku namlea vizuri akiwwa tumboni, huku maandalizi ya ujio wake yakiendelea, itakuwa vizuri na naamini Mungu atamleta kwa afya yooooote
Nawakaribisha na naamini ushauri wenu utanifaa sio mimi tu bali na wengine Jukwaani ambao wanasubiri kama mimi