Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kwa matukio yanayoendelea sasa kila siku kwenye social media inahiridhisha bila shaka wanawake walio wengi ni viumbe katili sana!
Wanaume wenzangu weka mtoto wako mbali na hii kitu inaitwa mama wa kambo!
Kama mwanamke anaweza kuuwa mtoto wa kumzaa mwenyewe ili aolewa sembuse mtoto wa mtu mwingine!
Sent using IPhone X
Wanaume wenzangu weka mtoto wako mbali na hii kitu inaitwa mama wa kambo!
Kama mwanamke anaweza kuuwa mtoto wa kumzaa mwenyewe ili aolewa sembuse mtoto wa mtu mwingine!
Sent using IPhone X