Hasara kuu ya kupenda ngono kupitiliza

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
2,330
4,151
Ni utafiti..
Usinimbie niliufanyia wapi ila moja ya vyanzo vyangi ni hapa hapa JF, Hata kama tinatimia ID fake ila mara nyingi vile ambavyo tunaviwasilisha ndiyo huakisi maisha yetu halisi

Moja ya hasara kuu ya kupenda ngono kupitiliza ni kupungukiwa uwezo wa kufikiri na kuamua mambo kwa nyakati sahihi, pia kupambanu lipi zuri na lipi baya, lipi linafaa kwa wakati huu lipi halifai. Mtu anayependa ngono mno anakuwa hajui mustakabali wake wa kesho nje ya ngono, hana uwelekeo mzuri hata kwenye kujenga hoja na ile tija.

Mfano mdogo hapa hapa JF kuna ID ukifuatilia mawazo yao utaona kabisa wana ugonjwa wa UEKI ( Ukosefu wa Kujitambua Kichwani) na mmojawapo ni huyu bwana mdogo anayeitwa kenny trump. Kila napojaribu kufatilia mawazo yake naona yamejaaupuuzi na hayabadiliki na hadhi anyoionesha humu ni kuwa yeye ni mpenda ngono sanakwa kuwa kila uzi atakaoleta lazima uhusu manzi mpya ambaye kafanya nae ngono ma anamlalamikia kwa jambo fulani

Jamani fanyeni ngono kwa kiasi na kwa mtu mmoja,huku tunapoelekea mtakuwa machizi maana akili zinawapungua kwa kuwa mnamwagiwa radhi au laana na watu wengi
 
Una Uvivu wa Kufikiri Mwenzio Huenda anataka kuwa Gwiji wa Maswala ya Ngono Apige Hela!
 
Mtoa mada unachotakiwa kujua ni kwamba humu wengi wanafake vitu yaani unakuta hata kinachoandikwa na huyo mtu sio uhalisia wake ......sasa ukianza kuwatoa watu akili humu wakati hujawahi onana nao na kukaa nao japo wiki utakua hutendi haki
 
Ukikaa na mpenda ngono ataongea ngono tu.
Ukikaa na mpenda siasa ataongea siasa tu.
Ukikaa na mpenda pesa ataongelea pesa tu.
Ukikaa na mpenda dini ataongea mambo ya dini tu.
Kuna watu hapa huwaoni jukwaa la siasa wala dini kwasababu hayana upaombele kwenye maisha yao. lakini wapo kwenye jukwaa la mahusiano kwasababu ndio kipaombele chao wengine ndio Ben10. Kama wewe umeokoka na dini ya wazungu wengine wana dini zao za asili.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mkuu wewe una uhakika gani kwamba Kenny trump ni kweli kila post anayopost inasadifu na kile anachokifanya mda mwingine katunga tu aone maoni ya wadau afterall hili ni jukwaa la mapenzi so ni sawa tu kwa post zake
 
Mtoa mada unachotakiwa kujua ni kwamba humu wengi wanafake vitu yaani unakuta hata kinachoandikwa na huyo mtu sio uhalisia wake ......sasa ukianza kuwatoa watu akili humu wakati hujawahi onana nao na kukaa nao japo wiki utakua hutendi haki
Nakataa usemacho mkuu.

Usiposema la moyoni kwa humu JF basi wew ni comedian.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom