Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 198
Nachukia sana watu wanao wasema madereva ni malaya wakati si kweli.Kama ni umalaya watu wengi kama vile wale wenye vipato vya kati na juu pia ni malaya sana watokapo kwa majumba yao.Sipendi muwaseme drivers mjiseme na nyie pia.Naruhusu wenye povu nitafulia nguo.