NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,307
- 3,020
1. Ni rahisi kuporomoka kiuchumi hasa ikitokea ka bibi mdogo ukakaleta karibu na biashara zako au kakawa kasimamizi ka baadhi ya Mali zako katakua bize kujifanyia malimbikizo ya fedha zako.
2. Kila mwanamke utakayekuwa nae kwenye mahusiano atataka kuchuma nakusepa zake huku akijua fika muda wowote anaweza kusepa.
3. Kujishushia heshima. Jamii inayokuzunguka watakuona mkosefu hata kama mkeo ndiye aliekukosea jitahidi umvumilie hata kama atajamba mbele za watu na akakusingizia wewe.
4. Watoto wako hawatakupenda hata uwapeleke sayari ya Jupiter. Watakuona kakakuona tu mapenzi yao juu yako yatabaki kua kama corona na mask.
5. Utawahi kufariki au utateseka sana katika maisha yako napengine utaweza hata kurudi kwa baba na mama na ukaishi kwenya ka ghetto kako kazamani.
Note: Vuta mke kwa nia kweli, ukianza uzazi naye funga mkanda hakuna kurudi nyuma ni mwendo wakukaza buti na kwenda Kinjekitile Ngwale maji maji. Mtutu begani haijalishi kama umepewa ratiba ya tendo la ndoa.
Ongeza na zako hapo
Sent using Jamii Forums mobile app