Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.

Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa. Sipendi kuwa na hyo mizigo. Kwanza nikiwa na hyo mizigo nakosa confidence nakuwa mdogooo confidence zero sijui Kwann 😂

Niliwah kunenepa mara moja wakat nilivomaliza high school nikasema ktk maisha yngu sitakuja ninenepe tena maana nilikuwa nakaa ndani tu nikawa sijiamini.

Halafu ktu kingine sipendi ile mtu unatembea halafu mtu anageuka nyuma anaangalia makalio hyo tabia sipendi. Nikafanya kla njia nikarudi mwili wa kawaida na nika apa sitokuja kunenepa tena labda nipate ugonjwa lakin hivi kawaida tu never.

Ila nashangaa kuna wengine wanaringia makalio hivi yana uzuri gani? Ati wengine wanatumia hadi dawa wanaongeza makalio 🙄 hivi mnayapendea nn hamuoni kero au huwa yanawapa faida gani hyo makalio yenu? Kwanza mkivaa hampendezi mnatuna tu 😏
 
Mzigo usiokuwa na faida [emoji23]
Mkuu faida ya zigo huwezi kuiona wewe!..
Tuachie sisi tunayoyapenda tuendelee kuhangaika nayo!..
Kuna msemo ulikuwepo kitaa kuwa siku hizi demu mwenye chura hata kama kaishia la pili D anatembea kwa kujiamini sana kuliko yule msomi mwenye shahada lakini hana wowowo...
.
.
Mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom