Nawaza kwa sauti

Nawaza kwa sauti

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
979
Wewe ni mke wa mtu! Mchana umetoroka kazini ukaenda kuchepuka kwenye hotel X. Wakati mkiwa ndani mnafanya yenu huku nje wamekuja polisi wakazungushia utepe kwenye hotel kwani inasadikika kuna mgonjwa wa covid alilala hapo, hivyo hamtaruhusiwa kutoka hadi siku 14 ziishe!! Je utajieleza vp kwa mumeo!?
Je kama wewe ndio uliyekuwa na mke wa mtu ungefanyaje!??
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Ningekua mwanamke ningechangia ila kwa kuwa mm ni gudume gwa mbegu[emoji1787][emoji1787] acha nipite kmya kmya

yess BiShoo haswaaAaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf Raha sana lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom