Rafiki wa Kitanzania ni wanafiki na wana roho mbaya sana

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Jana tulikuwa na party flani pale home kwangu oyster bay. Ilikuwa ni Nyama Choma Party. Kuku choma, mbuzi choma na samaki choma. Nliwapata jamaa kadhaa wataalamu kwa ajili hiyo.

Nashukuru walikuwa waungwana kila mtu nlimlipa tsh 400,000. Na kuwapatia kila mtu kilo tatu ya kitu alichochoma kama asante na chupa mbili mbili za wine toka Scotland.

Tumekaa na jamaa zangu toka ughaibuni mpaka saa tano usiku.wengine waliamua kulala sababu nyumba ninayo kaa ina 4 master bedrooms haikuwa shida. Jamaa wawili walikuja na wake zao toka Canada wakaangusha home.

Asubuhi ikabidi nimpigie chef mmoja wa hotel kubwa tu ya katikati ya jiji aje na wasaidizi wake wawili kutundalia bfast na lunch. Jamaa sababu yupo likizo wala hakuwa na hiyana.akaja home na wasaidizi warembo wawili.

Basi tumekaa kaa mida ya saa saba akanipigia jamaa yangu Uswege this guy ni mpole and very smart.nikamuuliza kama yupo free akanambia yupo free ila anawaza maana gari yake Range aliipeleka DT Dobie waifanyie Service haijarudi so hapo anawaza kama atumie VW Tourage yake au Jeep.

Basi akaamua aache hizo atumie tu Prado yake mayai. Jamaa kafika tumeongea kiasi ndo nikamuuliza harusi yake michango inaendeleaje.akanishtua sana. Eti mpaka sasa zimefika Mi 21.8 tu.!!!!:oops::oops::oops::oops::oops:

Nlishangaa nikamuuliza hiyo imekaaje inakuaje kiasi kidogo kama hicho utadhani anataka kufanya birthday.ndo kunambia jamaa zake wengine wanachanga 300,000 wengine 500,000. Nikasema watanzania kweli hatupendani.

500,000 unamchangia mtu akaoe?kweli?kule ulaya na marekani hamna hiki kitu.basi huku ambao mnapenda kushare basi muwe serious.hizo pesa anaenda fanyia nini?watu mnaacha kuchangia 1,000,000 mpaka 3,000,000 au zaid unatoa 500,000?

Huo ni urafiki wa mashaka mashaka sana. Si urafiki mwema.tupendane wadau.basi tumepiga piga stories jamaa akaona ampigie shemeji kumjulia hali yaani mchumba wake.

Akawa hajapokea simu.daah jamaa yetu akakosa raha sana.nikaona isiwe shida nikachukua range ile ya kijivu na nikamwambia rafiki yangu ally aendeshe Ford Ranger tukawapakia wageni wetu na Uswege kanyaga moto mpaka Bagamoyo. Tukaogelee Hotel za Kitalii huko.

Jamaa ndo tukamsahaulisha kitendo cha mchumba wake kuchelewa kupokea simu.baadaye ndo simu ikapigwa na mchumba wake.kumbe alikuwa Church kulikuwa na maombi.

Jamaa akawa ame relax kidogo.basi tume spend sometime bagamoyo nlibeba mil 2.5 nmerudi hapa nina 350,000. Jamaa zangu wame enjoy sana. Hawa wazungu wamemwambia Uswege kila mmoja wao atatoa usd 2,500 kama support kwake.wamempenda mshkaji mtu fresh sana.

Basi muda huu ndo nmempeleka kwake gari yake kaacha kwangu.then nikamwa nikarudi home.ndo. Nmefika home now.

Watanzania ndugu zanguni tupendane tuacheni roho mbaya na choyo.kama unamchangia mwenzio mchangie kwa roho moja.siyo unamchangia majungu tu.mchangie pesa afanye jambo la kumfurahisha.

Jamaa tumeshampa offer honey moon achague nchi aipendayo akakae week 2 kamili ili ampe mimba mkewe huko.hatutaki ampe mimba mkewe TZ asije naye akawa na roho mbaya kama wa TZ wengi.

Tutafuteni pesa na tukipata tuzitumie tu. "The best way to get more money is to use what you have wisely" hapa nasikiliza night sound toka kwenye music system yangu ya BOSE. hii machine nlichukua USA mwaka jana Tsh 8,700,000 za kitanzania.

Sebuleni nmefunga Panasonic from Japan kwenyewe kabisa. Hii nlichukua Mil 12,000,000. Jamaa zangu hutaka waje tu kusikia music home.sina hiya a you are welcome guys.maisha yenyewe ndo haya haya... Roho mbaya na Chuki ya nini?

Ngoja nipumzike maana naona AC inatoa mwanga wa kuniletea usingizi.siyo taa. AC Nimeiweka kwenye Night Mode so inatoa mwanga wa kuleta Usingizi.huku Yenyewe ina regulate joto kuendana na mwili.nmeweka Automatic.
 
Jana tulikuwa na part flani pale home kwangu oyster bay. Ilikuwa ni Nyama Choma Part. Kuku choma, mbuzi choma na samaki choma. Nliwapata jamaa kadhaa wataalamu kwa ajili hiyo.

MATURITY IS WHEN YOU TRY TO BE BRIEF, DEEP AND PRECISE WITHOUT CHILDISH STORIES😊😊😊😊😊
 
Back
Top Bottom