moreen richadson
Member
- Dec 5, 2015
- 57
- 143
Unaenda na mtu kupumzika mahala flani, utashangaa wakati wa kuvua boxer na trouser vyote anavishika kwa pamoja na kushusha chini, au anavulia ndani ya shuka. Ukija kuangalia hiyo boxer unaweza kudhani ni lile tambala la deki.
Wakati mwingine nje anaweza kuwa msafi sana na gari yake ikawa inanukia marashi, lakini nguo ya ndani ni kituko, zaidi ya yote unaweza kukuta ni mme wa mtu.
Tunaomba mbadilike
Wakati mwingine nje anaweza kuwa msafi sana na gari yake ikawa inanukia marashi, lakini nguo ya ndani ni kituko, zaidi ya yote unaweza kukuta ni mme wa mtu.
Tunaomba mbadilike