Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika mahusiano kuna mambo mengi mazuri huwa tunawawazia wapendwa wetu pale Mungu atapokujalia kupata pesa, Ndoto hii ni kwa kila mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake. Mie siku nikipata...
8 Reactions
67 Replies
9K Views
Niseme ukweli nna mke , pamoja na ile ukasumba wetu wanaume katakuwepo tu kamchempuko nilijiwekea katazo kabisa kutotembea na mke wa mtu. Basi kamekuja kabinti field, mazoea mazoea nakaona kabinti...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
  • Closed
Leo natumbua jipu hili.. unakuta kitoto cha kike kimezoea kurambwa huko kikija kwa sie tusiofanya hayo kitakuona kana kwamba jitu la ajabu!! Jitu lisilojua Raha! Tunapewa majina hili si kitu...
24 Reactions
147 Replies
26K Views
Siku nikivuta mamsi nikaiweka ndichi ndani nitakua mjamaa flani hivi... Kwanza naweza badilisha namba ya Ting'ring'ri angu... Alaf wale machalii ambao hawajaoa nitakua nawaona kama sio wajafanja...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna kamanzi niko nako katika mahusiano,haka kamanzi kana dada yake ni pacha wake. Huyo pacha ameanza kunishobokea kiduanzi,so nimepanga kumtafuna ila wasiwasi wangu ni wasije wakagombana...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
TUWEKANE SAWA KUHUSIANA NA UVUMILIVU JUU YA MAPENZI. NA KAMA NITAKUWA SIKO SAWA MTANISAIDIA: TUKUBALIANE KUWA MAPENZI YAPO YA AINA TOFAUTI TOFAUTI. HAPA NAMAANISHA MAPENZI YA WAZAZI KWA MTOTO...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nilikuwa nasoma jarida moja mitandaoni imeonekana miaka ya hivi karibuni wanawake wengi wamekuwa wakiwanyanyasa wanaume kimwili, kifikra na kisaikolojia. Kwa wale wasiofahamu, ukisikia mwanaume...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Asalaam wana jamvi. Tuende kwenye kwenye mada. Nilitaka kufahamu kuhusu suala la mwanamke kubadili ubin wake pale anapoolewa. Mfano kama kabla ahajaolewa aliitwa Mariam Jonh je baada ya kuolewa...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Kwa tamaduni za africa miaka ya zamani wanawake walivaa shanga kama urembo.. Kwa sasa mambo yamebadirika wanavaa kwa ajili kunogesha umalaya.... Ukiona mke wako anavaa shanga elewa huyo ni...
10 Reactions
94 Replies
32K Views
Kila mtu ana ndoto zake ama kitu ambacho anatamani katika maisha yake. Lakini ndoto hizi hugawanyika katika makundi mengi ikiwemo KAZI, MAKAZI, NYUSAFIRI (VIPANDO) na kadhalika. Leo napenda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hellow wapendwa , Poleni na majukumu , Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-45 ,awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi...
6 Reactions
32 Replies
7K Views
Hivi inakuaje unakuwa na urafiki na jinsia nyingine hutegemea muongozo? Au Una kuwa na mahusiano na mtu, yeye yupo nusu kwako nusu sehemu nyingine, huwezi mkuta anakuambia hakutaki wala kukuambia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NYUNDO YANGU LEO INAGONGA KWENU DADA ZANGU. Iwapo ushajifahamu wewe ni mzuri na kila mtu anakusifia basi kichwa kisiwe kikubwa ukajikuta unauza utu wako. . Uzuri wako wa nje usikufanye uwe na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Hbr za siku wanaJF binafsi ni mzima wa afya. Mara nyingi nimekuwa nikisikia wanaume wanaofia vifuani kwa wanawake kwa ajili ya kupiga bao nyingi sana mpaka mtu anakufa wakati wa SEX. Pia wiki...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
Wakuu habari za mwaka 2020 sina budi kumshukuru Mungu kwa kuuona tena mwaka mwingine na nawatakia maisha mema na maendeleo. Niingie moja kwa moja kunako maada yangu wapendwa Kwa sasa nina miaka...
10 Reactions
95 Replies
57K Views
Kuna hizi ndoto huwatokea watu wakifanya mapenzi na watu wanaowafahamu au wasiowafahamu, ni nini huwa chanzo cha kuota hizo ndoto. Na mara nyingine ukishtuka unaweza jikuta maeneo husika kama...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mtumishi : Hello Binti Bwana asifiwe Binti: Amen mtumishi Mtumishi: mrembo, samahani, una mpenzi? Binti: Hapana. Sina mpenzi. Mtumishi: nakupenda Binti tuishe wote Kama mke na mume ...
9 Reactions
27 Replies
5K Views
IPO hivi kuna binti nilikuaga nae na mahusiano tukaachana alikua anaringa sana, enzi hizo niko chuo baada ya kuhitimu chuo nikajaga kukutana nae miaka kadhaa baada ya kumaliza tukawa tuna pasha...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Tumetoka mbali sana! My mama always used to tell me: 'If you can't find somethin' to live for, you best find somethin' to die for.... Tupac Ain't a woman alive that could take my mama's...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
HELLO WANA MMU naamini mu wazima wa afya...nimependa sana ku share nanyi hili suala langu na kiukweli limeanza kuniumiza kichwa na ninapoelekea nisipopata washauri makini naweza dumbukia katika...
3 Reactions
108 Replies
14K Views
Back
Top Bottom