Ni nini kisababishi cha hizi ndoto za mapenzi?

Ni nini kisababishi cha hizi ndoto za mapenzi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,549
Reaction score
64,916
Kuna hizi ndoto huwatokea watu wakifanya mapenzi na watu wanaowafahamu au wasiowafahamu, ni nini huwa chanzo cha kuota hizo ndoto. Na mara nyingine ukishtuka unaweza jikuta maeneo husika kama yameguswa.

Je, ni kwasababu ya kushiba sana na kuvimbiwa au inatokea tu kutokana na kazi ya ubongo ya ku-refresh?

Je, ulishawahi kuota ndoto za namna hiyo na uliichukuliaje?
 
Back
Top Bottom