Ningekuwa sina mke ningekuhonga kikubwa sana bila kutarajia return yoyote kwa coment hii.Ain't a man alive that could take my dad's place
Hakuna penzi real kama la baba aseee!
Ningekuwa sina mke ningekuhonga kikubwa sana bila kutarajia return yoyote kwa coment hii.
Daah!!! Hii nayo ni Kari ya Mwaka !!!! Mchepuko tena...Hakika penzi la Mama kwa Mtoto wake ni penzi la ukweli na kunakuwa na uwajibikaji wa mama kwa asilimia zote 100. Penzi lingine tamu ni la mtu na mchepuko wake mpya angalau kwa asilimia 80 kunahali ya kufaidiana.
Wee kunguni wakifipa wacha uongo wee. JoanahAin't a man alive that could take my dad's place
Hakuna penzi real kama la baba aseee!
Hakika penzi la Mama kwa Mtoto wake ni penzi la ukweli na kunakuwa na uwajibikaji wa mama kwa asilimia zote 100. Penzi lingine tamu ni la mtu na mchepuko wake mpya angalau kwa asilimia 80 kunahali ya kufaidiana.
I remminace fo the stress i caused,
it was hell,
hagging on my mama in Jail cell,
there is no way i can pay you back but .......
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebidi nimpigie mama Simu tena saa hii Ingawa nimeongea naye asubuhi. Love you mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumetoka mbali sana!
My mama always used to tell me:
'If you can't find somethin' to live for, you best find somethin' to die for.... Tupac
Ain't a woman alive that could take my mama's place.... Tupac
View attachment 1400738View attachment 1400739View attachment 1400740