Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 891
- 1,237
Hbr za siku wanaJF binafsi ni mzima wa afya.
Mara nyingi nimekuwa nikisikia wanaume wanaofia vifuani kwa wanawake kwa ajili ya kupiga bao nyingi sana mpaka mtu anakufa wakati wa SEX.
Pia wiki chache zilizopita kuna picha ilizunguka sana mitandaoni ikionesha POLISI wamebeba maiti ya mwanaume aliyekufa kwa kupiga BAO 7 na hiyo ilitokea baada ya wapenzi hao kubishana kuwa nani mbabe na hivyo kuondoa utata huo kwa kupiga mechi bahati mbaya mwanaume akafariki kwa bao nyingi.
MASWALI NINAYOJIULIZA.
1.wanaume hao wanakuwa na shida nyingi hizo bao zinaongezea tu vifo vyao au bao nyingi zinauwa kweli??
2.Ripoti nyingi za hivyo huwa zinataja wanaume kuliko wanawake je wanaume tu ndiyo wahanga wa hilo.
3. Bao ngapi ni rafiki kwa afya ili kuepuka kupoteza maisha kifuani kwa mtu.
4.Huyo mwanaume alikufa kwa bao 7, mbona napiga bao 6 ucku mmoja na sihisi kitu cha kuhatarisha afya yangu na naweza sex cku mbili mfululizo bila shida.
NAOMBENI UPEMBUZI WENU YAKINIFU WAZOEFU.