Utongozaji wa watumishi wa bwana

Utongozaji wa watumishi wa bwana

Mr What

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
1,218
Reaction score
2,192
Mtumishi :
Hello Binti Bwana asifiwe

Binti:
Amen mtumishi

Mtumishi:
mrembo, samahani, una mpenzi?

Binti:
Hapana. Sina mpenzi.

Mtumishi:
nakupenda Binti tuishe wote Kama mke na mume , Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."

Binti:
Lakini mimi sikupendi jamani!!!

Mtumishi:
Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8 "Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo."

Binti:
Mh!! Mi ntajuaje kwamba na wewe unamaanisha hayo maneno?

Mtumishi:
Injili ya Mathayo 12:34b "Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake."

Binti:
Jamani leo kazi ninayoi!!. Mi ntajuaje kwamba we ni mkweli na mwaminifu?

Mtumishi:
Injili ya Marko 13:31 "Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe."

Binti:
Wewe! Na kwanini umekuja kwangu? Wasichana mbona wako wengi tu!

Mtumishi:
Mithali 31:29 "Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote."

Binti:
We una mambo wewe!! Sasa mimi kwangu umependa kitu gani?

Mtumishi:
Wimbo Ulio Bora 4:7 "Mpenzi wangu, u mzuri pia, Wala ndani yako hamna ila."

Binti:
Mh! Huo uongo, mbona mimi hata sio mzuri kihivyo. Unaongeza chumvi tu!

Mtumishi:
Mithali 31:30 "Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa."

Binti:
Nikisema nimekukubalia itakuaje!?

Mtumishi:
Mwanzo 2:24 " Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."

Binti:
Jamani we mkaka., Inakuaje unajua maandiko kiasi hicho?

Mtumishi:
Yoshua 1:8 "Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana."

Binti:
Wowwww! Naona unampenda sana Mungu.

Mtumishi:
Zaburi 34:8 "Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini."

Binti:
Mh! Haya bwana. Basi nipe muda nifikirie ombi lako.

Mtumishi:
Wafilipi 4:8 "Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."

Binti:
Mh! Jamani wewe, haya, nimekubali. Mpaka hapo nimekupenda na nipo tayari kuolewa na wewe !!

Mtumishi:
Ufunuo wa Yohana 22:21 "Amina"
 
Amina:kwa hiyo harusi ni lini au kazoa tuu juu kwa ju
 
Kama huna hela,hayo yote kwake makelele tu..
 
  • Kicheko
Reactions: rr4

Umetisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti: Ila mimi sitaki sex hadi ndoa.

Mtumishi: 1korintho 7:5 "Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivo. " na mimi sijaafiki.

Binti: Basi kama utataka sex na mimi naomba hela, uninunulie na simu imeharibika, kodi imeisha.

Mtumishi: Nimekumbuka bibiye, Mithali 6:12 "mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake" nitasubiri hadi ndoa.
 
Nakutafutia mstari mwingine mpaka unikubalie.... Subiri
 
Kusema kweli ni watamu sana na yale madeko ya aibu aibu wanapandisha stimu sana.

Ukiingia nae chumbani ile sitaki nataka huwa inapandisha stimu sana ukishafanikiwa kumfumua unacheza derby game mpaka anamsahau baba yake wa kiroho.

Mungu awabariki sana watumishi wanawake watumishi wa bwana siyo kwa utamu ule.
Nimewala sana mama wachungaji..ni watamu mnoo na wengine wanarusha hadi kojoo la motoo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti: Ila mimi sitaki sex hadi ndoa.

Mtumishi: 1korintho 7:5 "Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivo. " na mimi sijaafiki.

Binti: Basi kama utataka sex na mimi naomba hela, uninunulie na simu imeharibika, kodi imeisha.

Mtumishi: Nimekumbuka bibiye, Mithali 6:12 "mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake" nitasubiri hadi ndoa.
Hahaha, noma sana!!
 
Kusema kweli ni watamu sana na yale madeko ya aibu aibu wanapandisha stimu sana.

Ukiingia nae chumbani ile sitaki nataka huwa inapandisha stimu sana ukishafanikiwa kumfumua unacheza derby game mpaka anamsahau baba yake wa kiroho.

Mungu awabariki sana watumishi wanawake watumishi wa bwana siyo kwa utamu ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu...halafu wanapenda sana kunywa kwa siri,kuna mmoja kila nikikutana nae alikua ananiomba nimpelekee dompo 2,anazipiga kama maji halafu anatafuna karafuu shughuli imeishaa🤣🤣🤣
 
Kusema kweli ni watamu sana na yale madeko ya aibu aibu wanapandisha stimu sana.

Ukiingia nae chumbani ile sitaki nataka huwa inapandisha stimu sana ukishafanikiwa kumfumua unacheza derby game mpaka anamsahau baba yake wa kiroho.

Mungu awabariki sana watumishi wanawake watumishi wa bwana siyo kwa utamu ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol vipi na marinda mnawafumua kama kawa au? ??
Nimewala sana mama wachungaji..ni watamu mnoo na wengine wanarusha hadi kojoo la motoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Wanajua mastyles na manjonjo mengine au ? ?

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom