Mapenzi yataniua

M

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
477
Likes
557
Points
180
M

mike2k

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
477 557 180
HELLO WANA MMU
naamini mu wazima wa afya...nimependa sana ku share nanyi hili suala langu na kiukweli limeanza kuniumiza kichwa na ninapoelekea nisipopata washauri makini naweza dumbukia katika tatizo ambalo litani cost maisha yangu yote..
isssue nzima inaanzia hapa

MImi ni kijana wa miaka 20 kabila langu ni mchagga pure.kwa sasa nachukulia masomo ya juu ya degree katika moja ya chuo kikuu kikubwa zaidi na maarufu zaid central and east africa.katika kuhangaikia na mambo ya ujana nilijikuta namzalisha binti mmoja ambaye nilikuwa nasoma naye.ILI kumaliza kesi kwa vile nilikuwa bado form six niliamua kumpeleka kwa mama angu akamtunza na akajifungua salama na sasa anasubiriwa mtoto akue ili na yeye aweze kurudi shule amalizie masomo yake.Kiukweli huyu binti ananipenda kutoka moyoni licha ya mjaribu yote lakini amekuwa upande wangu siku zote....na mimi nampenda sana na ndio nimeamua kabisa kutoka moyoni aje kuwa mke wangu.wazo hili limekuwa kichwani kwangu tangu natoka nyumbani mpaka nafika hapa chuoni...tena nikiwa na ahadi nikifika chuoni tu nitajitahid nipate chumba ili niishi naye mpk nitakapomaliza masomo yangu.

MAJARIBU YAMEANZA
KWA wale waliobahatika kufika chuo kikuu wanaelewa ni jinsi ghan chuo palivyo na vishawishi vingi.Na ni ukweli usiofichika kwamba chuo kikuu ndo kuna wanawake wa kila aina na warembo kupindukia.

Wiki mbili zilizopita jumanne nilikuwa naelekea lecture room kwa ajili ya kusoma.NILIPOFIKA NDANI nikakuta wanafunzi wachache akiwepo binti mmoja ambaye alikuwa amekaa upande wa mbele.ukweli wa MUNGU nilimtamani sana na nilitamani sana kama nigeweza kukaa naye karibu hata nipige naye story wakati tunamsubiria lecturer kwa vile tuliwahi nusu saa kabla..by the way nilishindwa na kuamua kupotezea na kuamua kuchezea smartphone yangu.baada ya kama dakika tano hivi nilipigiwa simu na mtu flani hv aliyekuwa akinidai pesa yake wakati nampelekea binti yule aliniita na kuniuliza kama nina ratiba kwa vile nilikuwa na haraka na ratiba ilikuwa kwa simu in form of softcopy nikawa nimemwachia na simu ili aiangalie....kwa haraka haraka nikajiongeza nikaona hii ni fursa ya kukaa na huyu binti karibu.nikamwachia na bag maksudi...then nikapelekea pesa ya watu niliyokuwa nadaiwa.nilivyorudi nikaa naye pamoja..tukaanza story za hapa na pale nikamjulia jina lake na mimi nikamwambia jina langu,,,na course tunazosomea tukaambia baada ya hapo automatically tukaanza kushare story mbalimbali za maisha kwa mfano alienda jeshini kwa hiyo akawa ananihadithia jisi kulivyo na mazoezi mbali mbali aliyopitia....kwa bahati nzuri au mbaya lecturer hakuingia kwa hiyo ikawa fursa zaidi ya kupiga naye story zaidi....binti huyu anatokea kanda ya ziwa katika eneo ambalo liliathiriwa na tetemeko la ardhi kagera....alienielezea situation nzima ilivyokuwa kwa vile alikuwepo siku tetemeko lilivyotokea ilikuwa ni story flani yenye majonz na vicheko ndani yake...baada ya kukaa naye kwa muda nilikosa kabisa njia ya kumwomba namban...baada ya muda tuliamua kuondoka mimi niliamua kuelekea library na yeye aliniaga akiniambia anaenda kula..baada ya kuondoka kama mita kumi hivi roho ilisita kabisa kuachana na yule binti bila hataa kuniachia namba kwa vile tupo wengi kumpata tena isingekuwa rahisi...nikajisemea hapana nikaahirisha kwenda library nikaamua kwenda naye kula...nikamkimbilia kwa vile hakufika mbali tukaongozana pamoja mpk cafeteria tukala kwa pamoja wali nyama wakati tukiwa mezani ndo nikapata fursa nikamwomba namba akanipatia(MISSION COMPLETE)....nikajilipia mimi pamoja na yeye akanishukuru KISHA TUKAONDOKA NIKAMSINDIKIZA MPAKA KARIBIA NA HOSTEL ALIYOKUWA anakaa..kuanzia siku hiyo nikawa na mawasiliano naye ya kiwango cha kawaida tu....jioni na mchana i akawa anipigia simu ananichukua tunaenda kula wote..mazoea yakakua zaidi ikafika kipindi akawa anachukua simu yangu kwa ajili ya kupiga picha zake kwa vile hakuja na smartphone.kabla ya kumpatia ile simu niliweka picha zangu zote katika VAULT ya application inayoitwa APPLOCK..kiufupi app hii unaweza i hide katika menu isionekane na pia ukilock application huwa kabla ujaweka password za kuunlock app ina cover ambayo huwa imeandikwa UNFORTUNATELY,APPS HAS STOPED then inajirudisha kwenye home screen kwa akili ya haraka haraka lazima utaona simu ni mbovu so nililock simu yangu apps zote za muhimu kwa style hiyo....alikaa nayo more than 24 hours kwa vile nilimwachia na na line yangu na nmba ake haikuwa kichwani na kama nilivyosema mwanzo chuon hapa tupo wengi mno so nilopezana naye kabisa after 24hrs ndo nikampata akanirudishia simu yangu huku akiilalamikia kuwa ni mbovu kwa vile kila akifungua app inagoma kabisa kufunguka...btw ukweli nilikuwa naujua mimi kuwa nilii lock kiakili...baada ya hapo ikawa joni lazima anipeleke maombi ya usiku kwa vile yeye ni mlokole ..mazoea yakapanda grade akawa ananiomba niwe napiga naye discussion.....siku moja nikiwa naye in discussion akawa ananilalamikia kuwa boyz wana mwa approach sana kiufupi wana msumbua mno akanionyesha na baadhi ya message za wanaume waliokuwa wanamsumbua akanipa simu niwajibu kirohoni nikakataa katu ila sikumwambia nilijifanya nimesahau..jioni yake tukiwa tumeenda kula akanionyesha baadhi ya boyz ambao wamemtongoza.moja ya swali gumu maishani mwangu ni kumuuliza binti kama yuko na boyfriend coz huwa akijibu ndio tu basi napoteza nguvu ya kumtongoza kabisa....basi kiujasiri nikaamuuliza bado wanakusumbua tu akanibu ndio,,, nikamuuliza sasa kwan uko mtu yeyote una ye date akaniambia ndiyo kuwa yuke na boyfriend kiukweli nilikosa pose kabisa...kwa kuvunga tu nikamwambia kama uko na boyfriend mjibu huyo msumbuaji kuwa tayari una mchumba...

nikawa nimekata tumaini la ku date naye nikajisemea rohoni huyu atabaki kuwa best friends wangu tu..kesho yake asubui akaniomba nimsubirie mchana kwa ajili ya kwenda kupata lunch kisha tukitoka hapo tuende library(katika story zangu za hapa na pale na upekuzi wake katika simu yangu alikuta baadhi picha za ofisinipamoja na sms za mahesabu mazito mazito ambako nilikuwa nafanyia kazi zamani kiufupi tu ni kwamba aligundua kuwa mimi ni bonge la mfanyabiashara kijana na katika maongezi yangu nikajikuta nimemropokea uongo kuwa nna nyumba ilhali sina chochote)baada kula pale tuliondoka tukaelekea kwa fundi nguo kisha akachukua nguo zake alizokuwa amepeleka kwa huyo fundi cherehani kwa ajili ya kuzifanyia marekebisho..kwa vile kabla ya kufika library huwa lazima tupitie kwa kwa hostel block yetu so nilimshauri kiroho safi bila nia mbaya yoyote kuwa tungezipitisha hizo nguo kwangu ili nizihifadhi kisha tukitoka library ndo tuzichukue...akanikubalia...kisha safari ya kuelekea room ikaanza tulivyofika room wote tulikuwa tumechoka choka tu bila sababu yeyote ya msingi....akaniulizia kabati langu nikamwonyesha always mara nyingi huwa naweka nguo rafu so akaamua kunisaidia kupanga nguo safi na chafu akaziweka mahala pake ake utani ukawa mwingi mara mimi navaa magauni yake aliyotoka nayo kwa fund na yeye akawa anavaa suruali zangu ...kisha akachukua nguo chafu zangu akaniambia kuwa anaenda kufua..kwa akili ya haraka haraka nikagundua kuwa safari ya library imekufa...nikachukua laptop yangu nikamwambia mimi nacheki movie kidogo akakaa tukaanza kucheki wote..filamu yenyewe ilikuwa ni ya kihindi inaitwa KAL HO NAA HO-JUNOON mhusika mkuu akiwa ni sharkuh khan tuakaa kwa pamoja tukawa tunaitazama kwa pamoja kwa kiasi flani hvi nikawa namwelewesha kwa kutumia subtitte...kwa ghafla hvi nikaanza kumwona kama vile anelegea legea hata nikiwa namwongelesha ananijibu kivivu vivu...

nikamwomba asogee ili nimwelewe movie vizuri binti huyu wa kihaya akasogea....nikajifanya kama kumwekea mkono nikaona katulia....nijisemea mwenyewe nini mbya.tukiwa tunaendelea kucheki filamu yetu mara kwa mara nikawa namshika kiuno naona kimya anajichekea tu nikaona nijiongeze nikamowmba kiss akagoma akaniambia ana boyfriend tayri nikajifanya sijasikia kabisa nikasogeza ulimi nikaona ka respond ili nisi dhalilishe wanaume wa kichagga nkasema nnahakikisha namfanyia huyu binti namfanyia mautundu yote mpaka anakufa...wakati kal ho naa hoo inaendelea siye tukawa tunaendelea na romance baadae nikafikisha mkono kunako bapo binti amechanganyikiwa analalamika kuwa yuko na boyfriend mimi sikuwaza kwa vile tulikuwa tumekaa kwa kiti nikamwomba tusogee kitandani binti wa watu akasogea.....niamchezesha match moja ya nguvu sana mpk nikawa nasumbua waliokuwa karibu na mlango na vyumba vya jirani...baada ya match akawa ananisifia mno kuwa nipo vizuri ...tukaendelea kucheki movie mpa jioni nikaenda kuoga na yeye nikamsindikiza hostel kwao kitu ambacho nilikigundua nikwamba binti alikuwa anachechemea by the way sikuwaza sana akaenda kuoga na mimi nikarudi room nikaoga jioni tukakutana tena tukaenda dinner pamoja...usiku huo huo akanitumia sms kuwa anaumia chini sana mpaka anatoka damu..mhmhmhmhmh nikamuulizia last time ume sex akaniambia one year before ,,,nikamuuliza tena na mimi ni mwanaume wake wangapi kulala naye akaniambia kuwa ni wapiliakaniambia kuwa mwanaume wake wakwanza huyo alimlazimisha sanaa lakini alivyomchomekea dushelele kwa maumivu aliyoyapata hata mshikaji hakumwaga ndani chochote akakimbia home so kwa mara ya kwanza sperm za kwanza kumwingia zilitoka kwangu kimoyo moyo nikajisemea tu kama ni kweli basi na mimi nimekula robo tatu ya bikra ake.kesho yake akniambia maumivu bado yapo nikamwambia ajikande kande labda atapona..

SHIDA INAANZIA HAPA
binti huyu amesoma shule za boarding za kanisa tangu primary..kwa maelezo yake nyumbani hata kwenda kwa jiran hathubutu lilikuwa ni kosa kubwa sana mbele macho ya mzazi..Tangu nimle binti huyu mapenzi yake yamezidi katika kiwango ambacho kimepitiliza yaani nimejikuta napendwa vile sijawahi pendwa mpaka nimejikuta mapenzi yangu kwa mke wangu yameanza kupungua kwa vile muda wote ninakuwa naye karibu kuna siku huwa nakaa naye hata mpaka saa 6 usiku tunapiga story tu....siku moja katika mazungumzo yetu nilijaribu kumuuliza vipi bado unampenda boyfriend wako akanijibu ndiyo...(..kwa vile licha ya kwamba nampenda lkn kumwoa kuna ugumu mno kutokana tayari nna mke na mtoto)nikamwomba sana asimwache awe anawasiliane sana kwa vile hayupo hapo chuoni na pia sitakuwa na kipingamizi naye chochote na nikamuahidi kutoka moyoni kuwa sintokaa nimharibie mahusiano yake na huyo jamaa ake.....na after 3 years tukishachukua degree zetu kila mtu na maisha yake...kwa kweli siku wahi mwambia kama nna mke na mtoto (nimekosa kabisa namna ya kumwambia)siku nyingine katika mazungumzo yetu na kwake nimegundua pia mapenzi yake yamepungua kwa huyo jamaa ake na nilithibishia hvyo kwamba kila wakti amekuwa akimdanganya kuwa yuko bize...upendo wake kwangu umekuwa na nguvu mno akawa ananiambia kuwa kuwa mfano nikimpa mimba hawezi kuwa tayari kutoa na wala hawezi kwenda nyumban bukoba kwa vile home kwao ni watu wenye msimamo mkali wa kidini....akaniambia kuwa mfano akipata bora nimpeleke moshi aahirishe mwaka mpaka ajifungue(kumbuka kuna siku nilishwahi mdanganya kuwa nna nyumba)jambo ambalo haliwezekani hata kidogo kwa vile moshi tayari nna mke na mtoto na wanaishi kwa mama angu..akaniambia seriously ikitokea hvyo na nikakataa bora tu ajiue....moyo ukakata ka kisu vile...kwa siku mbili tatu nimekuwa naumwa umwa yaani huyu binti ananihangaikia kama vile mme wake mpaka roommates wanionea kawivu hivi...coz muda wote wamekuwa na mimi kuniugyza matunda matunda na huduma zote za kijamii MUDA MWINGI YUPO ROOM KWANGU navyozipata zinanifanya hata akiondoka machoni kwangu dk 5 naanza ku miss..

CHANGAMOTO KUU
CHANGAMOTO YA KWANZA NI KUWA NATAMANI SANA HUYU BINTI AUJUE UKWELI KUWA TAYARI KUWA NIKO NA MTU NA NINA MTOTO NIMEJARIBU KUMWAMBIA ILA NIMESHINDWA KABISA

SHIDA YA PILI NI KWAMBA SITAKI KABISA AACHANE NA HUYO JAMAA AKE KWA SABABU NI KWAMBA TAYARI NNA MKE NA MTOTO SITOWEZA KUMUOA
nampenda mke wangu nampenda na yeye pia
....mbaya zaidi kwenye akili ya binti ameshaanza kupanga future yake na mimi
nisaidieni ushauri wa mawazo tafadhalini
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,399
Likes
50,141
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,399 50,141 280
Dah!

Mnavyoandikaga hizi tungo zenu utadhani wote mlifundishwa na mwalimu mmoja.

'Mimi ni kijana wa miaka kadha wa kadha...kabila langu fulani...nasoma chuo hiki au kile'

Hizi elimu za mwendokasi hizi....majanga matupu!
 
Nemo

Nemo

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2011
Messages
720
Likes
652
Points
180
Nemo

Nemo

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2011
720 652 180
Mkuu first and foremost condomize!! as you already have a child at a tender age of 20 that you can not support!
Kuhusu kumwambia, best you do so sooner before you are both too deep into the affair.
 
lady mmarangu

lady mmarangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Messages
307
Likes
155
Points
60
lady mmarangu

lady mmarangu

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2015
307 155 60
Kati ya wajinga wa hii dunia na wewe utakuwa mmoja wao! !!na hiyo elimu yako unasema unayo bado huna utambuzi!!!!!hakuna mchaga mwenye hiyo akili yako! mana akili yako ni ya choon to.
 
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
13,125
Likes
6,663
Points
280
Age
29
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
13,125 6,663 280
watu hamlali
 
mpuko

mpuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
554
Likes
172
Points
60
mpuko

mpuko

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
554 172 60
Mkuu first and foremost condomize!! as you already have a child at a tender age of 20 that you can not support!
Kuhusu kumwambia, best you do so sooner before you are both too deep into the affair.
Their already too deep!
 
C

Chwaka

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
201
Likes
10
Points
35
C

Chwaka

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
201 10 35
HELLO WANA MMU
naamini mu wazima wa afya...nimependa sana ku share nanyi hili suala langu na kiukweli limeanza kuniumiza kichwa na ninapoelekea nisipopata washauri makini naweza dumbukia katika tatizo ambalo litani cost maisha yangu yote..
isssue nzima inaanzia hapa

MImi ni kijana wa miaka 20 kabila langu ni mchagga pure.kwa sasa nachukulia masomo ya juu ya degree katika moja ya chuo kikuu kikubwa zaidi na maarufu zaid central and east africa.katika kuhangaikia na mambo ya ujana nilijikuta namzalisha binti mmoja ambaye nilikuwa nasoma naye.ILI kumaliza kesi kwa vile nilikuwa bado form six niliamua kumpeleka kwa mama angu akamtunza na akajifungua salama na sasa anasubiriwa mtoto akue ili na yeye aweze kurudi shule amalizie masomo yake.Kiukweli huyu binti ananipenda kutoka moyoni licha ya mjaribu yote lakini amekuwa upande wangu siku zote....na mimi nampenda sana na ndio nimeamua kabisa kutoka moyoni aje kuwa mke wangu.wazo hili limekuwa kichwani kwangu tangu natoka nyumbani mpaka nafika hapa chuoni...tena nikiwa na ahadi nikifika chuoni tu nitajitahid nipate chumba ili niishi naye mpk nitakapomaliza masomo yangu.
MAJARIBU YAMEANZA
KWA wale waliobahatika kufika chuo kikuu wanaelewa ni jinsi ghan chuo palivyo na vishawishi vingi.Na ni ukweli usiofichika kwamba chuo kikuu ndo kuna wanawake wa kila aina na warembo kupindukia.
Wiki mbili zilizopita jumanne nilikuwa naelekea lecture room kwa ajili ya kusoma.NILIPOFIKA NDANI nikakuta wanafunzi wachache akiwepo binti mmoja ambaye alikuwa amekaa upande wa mbele.ukweli wa MUNGU nilimtamani sana na nilitamani sana kama nigeweza kukaa naye karibu hata nipige naye story wakati tunamsubiria lecturer kwa vile tuliwahi nusu saa kabla..by the way nilishindwa na kuamua kupotezea na kuamua kuchezea smartphone yangu.baada ya kama dakika tano hivi nilipigiwa simu na mtu flani hv aliyekuwa akinidai pesa yake wakati nampelekea binti yule aliniita na kuniuliza kama nina ratiba kwa vile nilikuwa na haraka na ratiba ilikuwa kwa simu in form of softcopy nikawa nimemwachia na simu ili aiangalie....kwa haraka haraka nikajiongeza nikaona hii ni fursa ya kukaa na huyu binti karibu.nikamwachia na bag maksudi...then nikapelekea pesa ya watu niliyokuwa nadaiwa.nilivyorudi nikaa naye pamoja..tukaanza story za hapa na pale nikamjulia jina lake na mimi nikamwambia jina langu,,,na course tunazosomea tukaambia baada ya hapo automatically tukaanza kushare story mbalimbali za maisha kwa mfano alienda jeshini kwa hiyo akawa ananihadithia jisi kulivyo na mazoezi mbali mbali aliyopitia....kwa bahati nzuri au mbaya lecturer hakuingia kwa hiyo ikawa fursa zaidi ya kupiga naye story zaidi....binti huyu anatokea kanda ya ziwa katika eneo ambalo liliathiriwa na tetemeko la ardhi kagera....alienielezea situation nzima ilivyokuwa kwa vile alikuwepo siku tetemeko lilivyotokea ilikuwa ni story flani yenye majonz na vicheko ndani yake...baada ya kukaa naye kwa muda nilikosa kabisa njia ya kumwomba namban...baada ya muda tuliamua kuondoka mimi niliamua kuelekea library na yeye aliniaga akiniambia anaenda kula..baada ya kuondoka kama mita kumi hivi roho ilisita kabisa kuachana na yule binti bila hataa kuniachia namba kwa vile tupo wengi kumpata tena isingekuwa rahisi...nikajisemea hapana nikaahirisha kwenda library nikaamua kwenda naye kula...nikamkimbilia kwa vile hakufika mbali tukaongozana pamoja mpk cafeteria tukala kwa pamoja wali nyama wakati tukiwa mezani ndo nikapata fursa nikamwomba namba akanipatia(MISSION COMPLETE)....nikajilipia mimi pamoja na yeye akanishukuru KISHA TUKAONDOKA NIKAMSINDIKIZA MPAKA KARIBIA NA HOSTEL ALIYOKUWA anakaa..kuanzia siku hiyo nikawa na mawasiliano naye ya kiwango cha kawaida tu....jioni na mchana i akawa anipigia simu ananichukua tunaenda kula wote..mazoea yakakua zaidi ikafika kipindi akawa anachukua simu yangu kwa ajili ya kupiga picha zake kwa vile hakuja na smartphone.kabla ya kumpatia ile simu niliweka picha zangu zote katika VAULT ya application inayoitwa APPLOCK..kiufupi app hii unaweza i hide katika menu isionekane na pia ukilock application huwa kabla ujaweka password za kuunlock app ina cover ambayo huwa imeandikwa UNFORTUNATELY,APPS HAS STOPED then inajirudisha kwenye home screen kwa akili ya haraka haraka lazima utaona simu ni mbovu so nililock simu yangu apps zote za muhimu kwa style hiyo....alikaa nayo more than 24 hours kwa vile nilimwachia na na line yangu na nmba ake haikuwa kichwani na kama nilivyosema mwanzo chuon hapa tupo wengi mno so nilopezana naye kabisa after 24hrs ndo nikampata akanirudishia simu yangu huku akiilalamikia kuwa ni mbovu kwa vile kila akifungua app inagoma kabisa kufunguka...btw ukweli nilikuwa naujua mimi kuwa nilii lock kiakili...baada ya hapo ikawa joni lazima anipeleke maombi ya usiku kwa vile yeye ni mlokole ..mazoea yakapanda grade akawa ananiomba niwe napiga naye discussion.....siku moja nikiwa naye in discussion akawa ananilalamikia kuwa boyz wana mwa approach sana kiufupi wana msumbua mno akanionyesha na baadhi ya message za wanaume waliokuwa wanamsumbua akanipa simu niwajibu kirohoni nikakataa katu ila sikumwambia nilijifanya nimesahau..jioni yake tukiwa tumeenda kula akanionyesha baadhi ya boyz ambao wamemtongoza.moja ya swali gumu maishani mwangu ni kumuuliza binti kama yuko na boyfriend coz huwa akijibu ndio tu basi napoteza nguvu ya kumtongoza kabisa....basi kiujasiri nikaamuuliza bado wanakusumbua tu akanibu ndio,,, nikamuuliza sasa kwan uko mtu yeyote una ye date akaniambia ndiyo kuwa yuke na boyfriend kiukweli nilikosa pose kabisa...kwa kuvunga tu nikamwambia kama uko na boyfriend mjibu huyo msumbuaji kuwa tayari una mchumba...nikawa nimekata tumaini la ku date naye nikajisemea rohoni huyu atabaki kuwa best friends wangu tu..kesho yake asubui akaniomba nimsubirie mchana kwa ajili ya kwenda kupata lunch kisha tukitoka hapo tuende library(katika story zangu za hapa na pale na upekuzi wake katika simu yangu alikuta baadhi picha za ofisinipamoja na sms za mahesabu mazito mazito ambako nilikuwa nafanyia kazi zamani kiufupi tu ni kwamba aligundua kuwa mimi ni bonge la mfanyabiashara kijana na katika maongezi yangu nikajikuta nimemropokea uongo kuwa nna nyumba ilhali sina chochote)baada kula pale tuliondoka tukaelekea kwa fundi nguo kisha akachukua nguo zake alizokuwa amepeleka kwa huyo fundi cherehani kwa ajili ya kuzifanyia marekebisho..kwa vile kabla ya kufika library huwa lazima tupitie kwa kwa hostel block yetu so nilimshauri kiroho safi bila nia mbaya yoyote kuwa tungezipitisha hizo nguo kwangu ili nizihifadhi kisha tukitoka library ndo tuzichukue...akanikubalia...kisha safari ya kuelekea room ikaanza tulivyofika room wote tulikuwa tumechoka choka tu bila sababu yeyote ya msingi....akaniulizia kabati langu nikamwonyesha always mara nyingi huwa naweka nguo rafu so akaamua kunisaidia kupanga nguo safi na chafu akaziweka mahala pake ake utani ukawa mwingi mara mimi navaa magauni yake aliyotoka nayo kwa fund na yeye akawa anavaa suruali zangu ...kisha akachukua nguo chafu zangu akaniambia kuwa anaenda kufua..kwa akili ya haraka haraka nikagundua kuwa safari ya library imekufa...nikachukua laptop yangu nikamwambia mimi nacheki movie kidogo akakaa tukaanza kucheki wote..filamu yenyewe ilikuwa ni ya kihindi inaitwa KAL HO NAA HO-JUNOON mhusika mkuu akiwa ni sharkuh khan tuakaa kwa pamoja tukawa tunaitazama kwa pamoja kwa kiasi flani hvi nikawa namwelewesha kwa kutumia subtitte...kwa ghafla hvi nikaanza kumwona kama vile anelegea legea hata nikiwa namwongelesha ananijibu kivivu vivu...nikamwomba asogee ili nimwelewe movie vizuri binti huyu wa kihaya akasogea....nikajifanya kama kumwekea mkono nikaona katulia....nijisemea mwenyewe nini mbya.tukiwa tunaendelea kucheki filamu yetu mara kwa mara nikawa namshika kiuno naona kimya anajichekea tu nikaona nijiongeze nikamowmba kiss akagoma akaniambia ana boyfriend tayri nikajifanya sijasikia kabisa nikasogeza ulimi nikaona ka respond ili nisi dhalilishe wanaume wa kichagga nkasema nnahakikisha namfanyia huyu binti namfanyia mautundu yote mpaka anakufa...wakati kal ho naa hoo inaendelea siye tukawa tunaendelea na romance baadae nikafikisha mkono kunako bapo binti amechanganyikiwa analalamika kuwa yuko na boyfriend mimi sikuwaza kwa vile tulikuwa tumekaa kwa kiti nikamwomba tusogee kitandani binti wa watu akasogea.....niamchezesha match moja ya nguvu sana mpk nikawa nasumbua waliokuwa karibu na mlango na vyumba vya jirani...baada ya match akawa ananisifia mno kuwa nipo vizuri ...tukaendelea kucheki movie mpa jioni nikaenda kuoga na yeye nikamsindikiza hostel kwao kitu ambacho nilikigundua nikwamba binti alikuwa anachechemea by the way sikuwaza sana akaenda kuoga na mimi nikarudi room nikaoga jioni tukakutana tena tukaenda dinner pamoja...usiku huo huo akanitumia sms kuwa anaumia chini sana mpaka anatoka damu..mhmhmhmhmh nikamuulizia last time ume sex akaniambia one year before ,,,nikamuuliza tena na mimi ni mwanaume wake wangapi kulala naye akaniambia kuwa ni wapiliakaniambia kuwa mwanaume wake wakwanza huyo alimlazimisha sanaa lakini alivyomchomekea dushelele kwa maumivu aliyoyapata hata mshikaji hakumwaga ndani chochote akakimbia home so kwa mara ya kwanza sperm za kwanza kumwingia zilitoka kwangu kimoyo moyo nikajisemea tu kama ni kweli basi na mimi nimekula robo tatu ya bikra ake.kesho yake akniambia maumivu bado yapo nikamwambia ajikande kande labda atapona..

Ushamlipia msosi canteen mara ngapi mkuu, angalia usijeikacha familia yako uko kishumundu kisa mdada wa chuo, kumbuka mama ako, mkeo na mwanao wanakuangalia wewe mkuu, afu mbona wachaga hawako kama wewe, au ndio wachaga wa mwendokasiiiii.....
 
jakitoo

jakitoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Messages
11,228
Likes
54,249
Points
280
jakitoo

jakitoo

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2013
11,228 54,249 280
Acha tamaa na uzinzi... Umeacha mke na mtoto nyumbani kwenu
 
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
8,824
Likes
10,897
Points
280
Age
27
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
8,824 10,897 280
Braza embu acha kuhangaika na hixo biashara hapo chuoni. Embu wekeza akili yako kwenye masomo. Ls si hivyo utakuja disko
 
M

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
477
Likes
557
Points
180
M

mike2k

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
477 557 180
Uandishi uko vipi mkuu....
Dah!

Mnavyoandikaga hizi tungo zenu utadhani wote mlifundishwa na mwalimu mmoja.

'Mimi ni kijana wa miaka kadha wa kadha...kabila langu fulani...nasoma chuo hiki au kile'

Hizi elimu za mwendokasi hizi....majanga matupu!
kwa kiasi fulan mimi sio mwandishi mzuri........hebu naomba utoe mchango wako hapo....ungekutana na hali hii ungechukua hatua ipi
 
M

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
477
Likes
557
Points
180
M

mike2k

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
477 557 180
Kweli kabisa
Usingeyataka hayo usingemruhusu ukalala nae japo Nako kamejisogeza kakaliwa kenyewe there's no way mwambie ukweli mwanaume unakosaje ujasiri bwana umeacha mtoto Na mama home tamaaa mbaya sana
mamaafacebook mimi wala sikuwa naakili kabisa ya kumgegeda lakin ndo hvyo alijisogeza
 
C

chacha2016

Senior Member
Joined
Oct 21, 2016
Messages
190
Likes
118
Points
60
Age
27
C

chacha2016

Senior Member
Joined Oct 21, 2016
190 118 60
Ucmwambie chochote ila tu mkaze na hakikisha humpi mimba .
Kuhus mshkaji wake ndo ntolee tena hy demu hawez rud tena cz mapenz yameisha kw mchizi na ht ukiachana nae huyo demu hawez mrudia mshkaj wake.
 
B

ball joint

Member
Joined
Jul 9, 2016
Messages
89
Likes
32
Points
25
Age
29
B

ball joint

Member
Joined Jul 9, 2016
89 32 25
Unadaganywa katembea na mwanaume mmoja we unakubali hakuna kitu kama hicho tena demu kafika mpaka uongo mtupu subir ujue ukweli utakimbia
 
M

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
477
Likes
557
Points
180
M

mike2k

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
477 557 180
Ushamlipia msosi canteen mara ngapi mkuu, angalia usijeikacha familia yako uko kishumundu kisa mdada wa chuo, kumbuka mama ako, mkeo na mwanao wanakuangalia wewe mkuu, afu mbona wachaga hawako kama wewe, au ndio wachaga wa mwendokasiiiii.....
Mkuu nilimlipia hiyo mara moja tu.....nisingeweza mlipia tena coz pale alikuwa ameweka bili
 
Forum statistics

Threads 1,274,223
Members 490,631
Posts 30,505,197