Ni kitu gani au jambo gani zuri ungependa kumfanyia mpenzi wako siku ukijaliwa kupata pesa?

nelly nashon

nelly nashon

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Messages
241
Likes
495
Points
180
Age
32
nelly nashon

nelly nashon

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2015
241 495 180
Katika mahusiano kuna mambo mengi mazuri huwa tunawawazia wapendwa wetu pale Mungu atapokujalia kupata pesa,

Ndoto hii ni kwa kila mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake.

Mie siku nikipata pesa, natamani sana Kumnunulia mke wangu gari..

Je, wewe ungependa kumfanyia nini mpenzi wako siku ukijaliwa kupata pesa?

Tililika, tujifunze.
 
Beka Mpole

Beka Mpole

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2017
Messages
397
Likes
277
Points
80
Age
113
Beka Mpole

Beka Mpole

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2017
397 277 80
Katika mahusiano kuna mambo mengi mazuri huwa tunawawazia wapendwa wetu pale Mungu atapokujalia kupata pesa,

Ndoto hii ni kwa kila mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake.

Mie siku nikipata pesa, natamani sana Kumnunulia mke wangu gari..

Je, wewe ungependa kumfanyia nini mpenzi wako siku ukijaliwa kupata pesa?

Tililika, tujifunze.
Kiukweli kabisa kutoka kwenye handaki la moyo wangu lililohifadhi thamani ya mapenzi yake, nitaongeza mpenzi mwengine.
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,759
Likes
1,661
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,759 1,661 280
Asikuongopee mtu, siku hiyo ukipata ndio mtu atajua atakacho kinunua, wakati huu ukisema huenda kutakuwepo na kitu cha maana zaidi siku utakayokuwa umepata mkwanja.
 
Forum statistics

Threads 1,215,824
Members 463,433
Posts 28,561,225