Tulioshindwa kuwa vuguvugu kwenye mahusiano aka friendzone

Manifestation

Senior Member
Jan 22, 2020
193
315
Hivi inakuaje unakuwa na urafiki na jinsia nyingine hutegemea muongozo? Au Una kuwa na mahusiano na mtu, yeye yupo nusu kwako nusu sehemu nyingine, huwezi mkuta anakuambia hakutaki wala kukuambia anakutaka, Ila anakuwa yupo vuguvugu.

Unakuta labda umachana na mdada lakini bado anataka kuhudumiwa nawe ukiomba mzigo anaanza kukasirika, au ndo unamtongza mdada anapenda mitoko ya hapa na pale Ila mzigo hataki toa.

Unakuta na mtu unamuelewa unamwambie tuyajenge anataka time yako ila ukihitaji mzigo anaanza longolongo.

Hii nasemea wengi ni wadada ndo maana unakuta ni rahisi sana mdada kukuambia napenda marafiki wa kiume na mzigo anabania.

Ila kiukweli wengi mnatutesa wengine urafiki wa ke na me kama haushiii kwenye kulana ushatushinda.
 
Back
Top Bottom