Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Nimekaa nikafikiria suala zima la kufunga ndoa, talaka na kufunga ndoa tena. Najua kuna dini zinakataza talaka na kuna ambazo zinaruhusu mtu kuoa wake wengi kwa wakati mmoja. Lengo hapa...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi nyote.... Natumai kila mtu yupo katika pilika za hapa na pale za kutafuta chochote kitu ili mradi mkono uende kinywani, na kwawale ndugu zetu ambao hawajiwezi kiafya tuwaombee...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu, hivi ni bora kuanzisha mahusiano na mtu anayekupenda lakini wewe humpendi, au ni bora kuanzisha mahusiano na mtu unayempenda lakini yeye hana habari na wewe?. crusader- jr
7 Reactions
172 Replies
56K Views
The East African Standard Newspaper Published on 02/08/2008 By Patrick Muriungi And Boniface Gikandi A woman accused of snatching husbands was on Friday stripped naked and frogmarched to...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habari za Jioni, Kuna hawa dada zetu wanaohudumu katika sehemu za kupata kilaji kama Bar, Grocery ama Pub ambao jina maarufu ni Bar Maid (Baamedi). Wadada hawa wapo katika nafadi ambayo...
6 Reactions
52 Replies
8K Views
Nawasalimu kwa upendo wa dhati kabisa ndugu zangu. Wakuu, kuna jamaa angu kanielezea kisa chake nikaona niwaulize na nyie. Huyu mshikaji wangu ana ex girlfriend wake ambae kwa sasa kaolewa mkoa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nguvu zetu za kiume zimeshikwa na wake zetu, wake zetu wanaweza wakatufanya tuwe imara zaidi kitandani au tuwe goi goi. Tukianzia kwenye vyakula, mke anayejielewa atahakikisha anampikia mumewe...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam kwenu wanaume masingle. Hivi mtu mwanamke anapotoa post kutafuta mme mnaaminigi? Eti mnajuaga kuwa labda wapo serious na uhusiano au ndio mnakuwaga mnachezaga tu na hisia zao? Chambueni...
5 Reactions
101 Replies
6K Views
Kama una mpenzi wako na anajua una biashara ila hakuna hata siku moja umemsikia akikwambia baby pole sana najua biashara yako inaathirika sana na hili janga la corona. Nakuombea mwenyeezi Mungu...
9 Reactions
82 Replies
9K Views
Habari Wapwa! Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili sasa, tunapendana na tulikuwa na mipango ya kuoana hivi karibuni. Tatizo kubwa alilonalo huyu binti ni hasira za...
9 Reactions
61 Replies
4K Views
Hivi hawa wadada wa siku hizi wana tatizo gani hasa kwenye suala la fedha!!!?? Nina mademu wa 4 ,mmoja yupo mbali sana nami Hawa mademu bhana sometimes wanakuwa kimya kabisa hawanitafuti Siku...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi mbona wanawake siwaelewi? Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya kulipa Kodi, nauli, nywele, kila mwezi wazazi 30k Kula yake na kiusomesha wadgo zake na kujitahidi Kwa show Kali Hadi kufikia kuzama chumvini Ila bado mwanamke anakuambia yeye kazoe kuwa...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
Ulishawahi kuishi au kushuhudia mwanamke mbishi anajifanya anajua kila kitu yaani yeye ndio profesa,nabii ingawa lowkey unajua yeye ni bongo lala? Unaishia kufanya mambo kimya kimya smart maana...
6 Reactions
50 Replies
10K Views
BADO NINALIA NA NDOA ZA BLUETOOTH! (ZILE ZA MUME YUPO SONGEA MKE ANAISHI TANGA) --Memo hii, Ikiisha somwa, yafanyike maombi na dua maalumu--- NAKALA KWA:- -Maparoko wote, -Mashehe wote...
16 Reactions
30 Replies
5K Views
Nipo zangu hapa home najaribu kupangilia majukumu yangu kwa siku ya kesho, kwa sababu nilikuwa sitegemei kutoka zaidi ya kuupumzisha mwili. Ghafla simu yangu inaita, kuangalia namba naona ni...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wajumbe wa jamvi hili kubwa la jamii forum hasa katika hichi kipengele chetu Cha mahusiano. Nijikite Moja kwa Moja kwenye mada;: MIMI mdau mwenzenu nipo kwenye michakato ya kutoa mahali ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nmesikitika sana leo asubuhi kutokana na ile mvua kunyesha wengi wamepata shida ya usafiri. Basi nikawa nmewasiliana na jamaa yangu ambaye bahati mbaya gari yake ilikuwa service. So nikawa...
41 Reactions
95 Replies
9K Views
Hamjambo humu ndani, wakubwa zangu shikamooni, wadogo zangu marahaba. Bila kupoteza wakati, ngoja nitiririke neno la usiku wa leo. Katika haya maisha, kila kitu kina hatua zake. Mfano...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Pamoja na kuwa si shabiki sana wa muziki wa taarabu, lakini le taarabu iliyoimbwa na Patricia Hillary inayojulikana kama Ewe Njiwa uwa inanigusa sana: Kama kuna mwenye kufahamu naweza kuipata...
0 Reactions
26 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…