Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 315
Baada ya kulipa Kodi, nauli, nywele, kila mwezi wazazi 30k Kula yake na kiusomesha wadgo zake na kujitahidi Kwa show Kali Hadi kufikia kuzama chumvini Ila bado mwanamke anakuambia yeye kazoe kuwa na wanaume wengi hawezi kuwa na bwana mmoja kabisa, hii ni baada ya kufumania zaidi ya mara tatu.
Kwakweli ni vizuri kuanza na Mungu mwenye mapenzi na sio kuvamia Tu. Nimejifunza ngoja nianze kumtumikia Mungu na kufanya kazi Kwa bidiii nitapata WA kufanana nami.
Kwakweli ni vizuri kuanza na Mungu mwenye mapenzi na sio kuvamia Tu. Nimejifunza ngoja nianze kumtumikia Mungu na kufanya kazi Kwa bidiii nitapata WA kufanana nami.