brytr Nichol
Member
- Nov 10, 2019
- 80
- 84
Habari wajumbe wa jamvi hili kubwa la jamii forum hasa katika hichi kipengele chetu Cha mahusiano.
Nijikite Moja kwa Moja kwenye mada;:
MIMI mdau mwenzenu nipo kwenye michakato ya kutoa mahali ya mkewangu mtarajiwa katikati ya mwaka huu.mipango inaenda sawa kabisa.Kama mjuavyo wanaume tabia zetu tunajuana kwakweli.
kuna binti mmoja,tofauti na huyu ninayetarajia kuwa nae kimaisha nilikua na mahusiano nae Ni kwa muda mrefu lakini hatukua na mipango inayoeleweka kimaisha.Sasa mwanzoni mwa mwezi wa kwanza tulikutana Arusha mahala ambapo nilikua nafanya kazi Basi wadau tukajikuta tunapasha kiporo.sikuchukua tahadhari nikauza mechi na binti akashika mimba.sasa ikawa kimbebe mpk Sasa ninayetarajia kumuoa hajui kuwa nimesababisha tukio.na pia nawaza itakuaje familia ya Yule binti ikisikia pale wakati naenda kutoa mahali huku binti yao Ni mjamzito? Nikiahirisha huyu mkewangu to be itakuaje na ameshawataarifu ndugu zake? Naomba kidogo mawazo yenu wajumbe nafanyaje hapa japo Mimi Kama Mimi maamuzi yangu Ni kuendelea na mipango yangu Kama kawaida nilivyokuwa nimeipanga awali.
Sent using Jamii Forums mobile app