Mada Maalum Kwa Wanaopenda Mabaamedi

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
472
422
Wakuu habari za Jioni,

Kuna hawa dada zetu wanaohudumu katika sehemu za kupata kilaji kama Bar, Grocery ama Pub ambao jina maarufu ni Bar Maid (Baamedi).

Wadada hawa wapo katika nafadi ambayo wanaume wakware wakishapata kilaji kikakaa kichwani huingiwa na matamanio ya kuwa na kimwili faragha.

Kimsingi wengi wao huwa hawana nongwa wala hiyana ila tabu yao wengi ni mpaka usubiri wafunge Bar/Pub zao ambazo nyingi hufungwa kuanzia usiku mnene (saa 6 usiku na kuendelea).

Kwa wale wadau mnaopenda kula maisha na kuruka ndani ya sita kwa sita na hawa wadada embu leteni ushuhuda wa raha na karaha zao.

Karibuni.
 
Na siku hizi hakuna tofauti ya dada poa na hawa wanaoishi kwa wazazi wao,, yaani hakuna mwanamke mwenye mpenzi mmoja

Kama unahisi kwa wadada poa kuna UKIMWI komaa na hawa wa mtaani uwe unawagonga pekupeku bila kinga uone kama utaukwepa UKIMWI

UKIMWI ni bahati mbaya tu kuupata ila hata wadogo zetu walioko vyuo, nyumbani na huko makanisani hawakatai mwanaume me naishi nao
 
Asee mm ndio nilikuwa addicted kbsa wa hizi mambo nikiwa hata na elfu 50 mfukoni kuna barmaid atachapika tu dah Asante mama T kwakunirudisha kwenye line sasa nalea familia na mke sina habari.
 
Na siku hizi hakuna tofauti ya dada poa na hawa wanaoishi kwa wazazi wao,, yaani hakuna mwanamke mwenye mpenzi mmoja

Kama unahisi kwa wadada poa kuna UKIMWI komaa na hawa wa mtaani uwe unawagonga pekupeku bila kinga uone kama utaukwepa UKIMWI

UKIMWI ni bahati mbaya tu kuupata ila hata wadogo zetu walioko vyuo, nyumbani na huko makanisani hawakatai mwanaume me naishi nao
Hasa wake zetu, ndo watatuua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom