Hivi humu eti wanaume mpo serious?

Hivi humu eti wanaume mpo serious?

MysweetL

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
314
Reaction score
340
Salaam kwenu wanaume masingle. Hivi mtu mwanamke anapotoa post kutafuta mme mnaaminigi?

Eti mnajuaga kuwa labda wapo serious na uhusiano au ndio mnakuwaga mnachezaga tu na hisia zao?

Chambueni hili suala watu waelewe.

Kwanza unamuonaje?

Tuambiazane
 
Back
Top Bottom