Ni bora kuanzisha mahusiano na mtu mwenye sifa ipi kati ya hizi mbili?

Wakuu habari za muda huu, hivi ni bora kuanzisha mahusiano na mtu anayekupenda lakini wewe humpendi, au ni bora kuanzisha mahusiano na mtu unayempenda lakini yeye hana habari na wewe?.
Kwa hiyo tayari una wanaume zaidi ya wawili wenye hizo sifa? Fanya experiment.
 
Hv unampendaje mtu asie kupendaa...... apo ni sawa na kumuheshimu mtu asie kuheshimu na huo ni ujinga na kutokujiamini.

Ila kuna kitu huwa kinatokea ktk aya mahusiano sometimes,moyo na akili huweza zikawa zunakupa hisia tofauti juu ya mtu uliye nae au unaetaka kuwa nae.

Mm hii hali imenitokea,kuna bint nilitokea kumpenda snaa lakini nikikaa peke angu nkitulia hakili ilikuwa inajiuliza hv nimempendea nn huyu bint yaani akili inagoma kabsa..Ila Sasa ilikuwa haipiti lisaa bila kumis...apo apo akatokea bint mmoja kunipenda lakin moyoni sikuwa na hisia nae kbsa Ila akili Sasa ndo ikawa inaniambia usimwache huyu bint...nilikubaliana na akili yangu coz siku zote naikubali sana akili yang,na nilicheza na akili kuulazmsha moyo kumpenda huyu aliyenpenda na mambo yapo vzur zaid ya vzur na ninampenda adi kesho.

So don't let your emotional control your thinking...najua huwa inatutokea akili ikakuaminsha kwamba fulani ndo anae kufaa lakini ndo hvyo tena mapenz ni upofu,unauacha upofu ukutawale adi unashndwa kufanya maamuzi sahihi na kubaki kuumizwa na mtu asie kupenda.
 
Back
Top Bottom