Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sisemi ni wote ila wanawake wengi wakiwa wanakwenda gym ataishia kupata mchepuko au hata wale instructors watakula mzigo. Mimi ninayo experience hivyo siyo wadada mje hapa useme siyo wote mi...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Imagine dunia nzima wanawake wagome kufanya mapenzi itakuwaje? Kuanzia walio ndoani mpaka makahaba. Hakutakuwa na uzao Tena na ndio itakuwa mwisho wa dunia.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Shea nasi mambo ya imani za kidunia yanayohusu watoto wadogo . Kwa uelewa wako japo sijui kama imani hizi zinakua applied kote ama la. Kwa mfano : kuna watoto wengine wanapozaliwa tu huwasumbua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wengi ukimbilia ndoa wakifikiri mle ndani wanaenda kufugana au kuzaa watoto na kuwalea tu na kusahau jukumu muhimu lililowakutanisha, hasa tendo la ndoa. Sasa unaweza kuta baharia anahitaji...
15 Reactions
90 Replies
13K Views
Ewe KIJANA mwenzangu wa KIUME. Naongea na wewe kijana mwenzangu uliye SINGLE kama Mimi. Kuna KANUNI 3 KUU za MAPENZI ya SIKU HIZI, bila hizo ni MAUMIVU TU.... 1. Tafuta hela. 2. Usiache kutafuta...
0 Reactions
50 Replies
3K Views
Nimekuwa nikikutana na wadada wengi wanapenda kuniweka friend zone ila nimekuwa nawatolea nje au kuwatongoza na kama akinikatalia nampotezea kabisa maana sijawahi kuwa na rafiki mwanamke ambaye ni...
17 Reactions
84 Replies
7K Views
Mim mwehu ndama kijana wa kitanzania napenda kuangazia sifa mujarabu ambazo nadhani bashauri ukikutana nazo Kwa binti wa kibongo hapo hapo chukua jiko jumlajumla na usimwache abadani. 1.*Mwenye...
26 Reactions
87 Replies
10K Views
" Ukiona tu Mtu ama Kaoa au Kaolewa halafu wakikaa muda wa Mwaka Mmoja tu hawajaanza kufanana Sura zao jua Kwanza Damu zao hazikuendana na kama Damu zao tu hazikuendana Kibaiolojia hapo jua ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za masiku ndugu zanguni poleni na uchovu wa Quarantine Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada hapa ni hili swala la wanaume kupiga magoti wakati wa Engement binafsi Mimi...
16 Reactions
133 Replies
10K Views
Tukiwa tunawaambieni kuwa pendeni kufanya mazoezi na acheni 'kufakamia' mivyakula yenu hiyo ya mafuta mafuta na kuishi kwa 'kubweteka' na mfanye sana mazoezi ili muwe 'fiti' kiafya kama akina...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu naomba Kuuliza ukisikia ke anasema amechoka time ya sex ina maana gani na unatakiwa uchukue hatua gani kipind cha sex? Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
271 Replies
43K Views
Wakuu habari zenu. Leo nimeamua niweke darasa kidogo hasa kwa wale jamaa zangu wenye midomo mizito kutongoza. Wenye kutongoza haraka haraka na kuishia kupigwa kibuti hasa kwa yule mwanamke...
11 Reactions
83 Replies
12K Views
Kiukweli hapa minakuja tuu kurefresh mind! Nakua ninaandika ninachojisikia nitakachoona kinanifurahisha, lakini cha kushangaza nyie wanawake wa hapa mnaniona mimi 'Hamnazo'. Juzi na leo nimepata...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Hellow habari zenu,hivi umri wa mimba unahesabu kuanzia siku uliyokutana kimwili na patner wako au unahesabu vipi?
1 Reactions
33 Replies
54K Views
hbr ya jioni wana mazengo pole na majukumu ya kila siku na weekend. Niende kwenye mada moja kwa moja.km mada inavyouliza hapo juu.kumekuwa kunatokea ajari na vifo vingi vyenye kuleta utata hasa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu heshima yenu kwanza. Nachohitaji kujua kutoka kwenu wakuu ni nini maana ya sehemu za siri? Je hata kama umefanya mapenzi na wanaume au wanawake wengi bado unastahili kujiita una sehemu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa mfano. 1. Wake za watu jinsi wanavojirahisisha kwa wanaume na kuliwa kiurahisi. Maana twapishana nao huko kwenye ma lodge jins wanavopishana nasi katika 1 na 2 2. Matokeo tunayoyaona baada...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Wenyewe ukiwaulizia wanadai joto ndio linawasumbua, mwaka jana kati ya wanawake 30 niliotembea nao wa hapa Dar walikua hawavai nguo ya ndani wanadai wakivaa wanachubuka mapajani kwa sababu ya...
10 Reactions
216 Replies
29K Views
Kwa hali ya kawaida huwa kuna mtu ambaye unamuamini hivyo uko huru kumueleza siri zako lakini pengine kuna siri ambayo imebaki kuwa siri yako tu. Binafsi mimi ninayo siri ambayo imebaki kuwa siri...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Niende kwenye mifano hai japo sitamtaja yeyote humu na najua familia nyingi ndivyo zilivyo Familia no. 1 Baba na mama ni wafanyakazi (wameajiriwa na taasisi fulani), mama ana kiburi kwa sababu...
12 Reactions
50 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…