Shea nasi mambo ya imani za kidunia yanayohusu watoto wadogo . Kwa uelewa wako japo sijui kama imani hizi zinakua applied kote ama la.
Kwa mfano : kuna watoto wengine wanapozaliwa tu huwasumbua sana mama zao. Yani unakuta mtoto tangu azaliwe ni kulia lia tuuu hadi mama anakosa raha kabisa kuumwa haumwi lakini mtoto analialia tu.. Hivo watu wazima au wenye uelewa fulani kwa imani fulani humshauri mama ampeleke mtoto kwao kwanza( upande wa baba) wakamuone ( hii ni endapo tangu mtoto azaliwe upande wa baba hawajamuona) na akishampeleka tu mtoto huacha kabisa kulia lia na anakua poa tu.
Hapo hapo pa kulialia baba akiwa mbali mtoto anaeza sumbua sana kwa kulia lia pia kiasi kwamba kama ni usiku mama anaeza asilale kabisa ..sasa hii cha kufanya ni mtoto akilialia wewe mama chukua Shati au nguo yoyote ya baba mtoto mvalishe mtoto hapohapo utaona ananyamanza na kutulia kabisa . Au kama mnakaa tofauti na baba mtoto wewe chukua shati yake kaa nayo unakoishi wewe na mtoto na ikitokea fanya hivooo na mtoto hatolialia.
If not so mtoto akisumbua hivo chukua shati la baba mtoto vaa kisha mbebe mtoto mgongoni mtoto hutulia kabisa.
Lakini pia waweza chukua nguo ya baba ukaitandika na kumlaza mtoto juu ya nguo na mtoto hutulia na kusinzia vizuri.
Mfano wa pili : Huu unahisi watoto wachanga wakiume ambao hawajakatika kitovu. Ni kwamba pindi kitovu kikitaka kukatika mama anatakiwa awe amemfunga kitambaa au kanguo kwa chini ya kitovu kinachokaribia kukatika ili kikitoka au kudondoka kidondokee juu ya ile nguo. Kikidondokea usawa wa uume kama hujamfunga kitambaa yasemekana mtoto huyo atakua hanisi yani hatokuja kusimamisha sijui linaukweli gani hili.
Mfano wa tatu unahusu wachaga.wachaga mtanisaidia kwa hili.
Huu niliunyaka kwa rafiki yangu ambae ni mchaga .kijana huyo alikua amempa mimba mpenzi wake lakini badae yule mpenzi wake akamsaliti jamaa huku mimba ikiwa changa kabisa ambayo haiwezi onekana. So dada kamtosa rafiki yangu mchaga kaenda kuolewa na mwanaume mwingine huku akiwa na mimba ya jamaa ............ ( nitarudi )
Sharing is caring
Sent using Jamii Forums mobile app