Hivi uyu mama mkwe ni wa aina gani ukienda nyumbani kwake ni mkarimu sana sijawahi kugombana nae niliwahi kukaa nae mwezi mmoja lakini siku nyingine nilikuwa naenda tu nakurudi pale. Nilipokwaruzana na mpenzi wangu alikuwa anasisitiza niwe mvumilivu na muda mwingine alimkemea mtoto wake kwa anachokifanya kwamba kama amenichoka aniache niendelee, na maisha yangu
Mtoto wake ana Elimu ya Juu, mimi niliajiliwa tu secta binafsi kwa level ya kawaida tu badae nikaamua tu kwenda kujiendeleza ili tusipishane, sana sasa mwezi ulopita tumeachana baada ya kumpelekea kesi mama mkwe akasema ngoja nitampigia sim nimuulize kuna nini ili tujue kama kuachika au vipi.mana mi nimemwelekeza hata haelewi.
Muda mwingine namwona kama uyu mama mnafiki ila nilipokuwa mbali mara nyingi alikuwa ananipigia sim kunijulia hali mda mwingine mi naweza nikajisahau kabisa lakini ye akanipigia kunisalimia.