Wadada mtusaidie hili

Wadada mtusaidie hili

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
wanywaji pombe na wavuta bangi hututambia kwa kupiga show za kibabe wakigegeda hata kututamanisha sie tusiotumia vitu hivyo... je wadada kuna ukweli wowote juu ya jambo hili au ni bla bla tu?
 
Kuna watu hawatumii hivyo ila wanashoo za hatari btw shoo ya kibabe sio sifa.
Kwo show za kibabe huwa zinakuumiza kama mm mwenzangu eti??

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Obhebhe olemana tolebayanda bhana bhakutoleka! Toleweka getegete..
Onene natotumilaga shilevi yoseyose,bhange neyo kabisa!
Ila muziki wake! Mama shindondofilo alelalamika nakamtola li shinu loselose!
Nene natekibamia! Nene naleshiwanda lelesaga nakukoboa! Bha Agnes balelimana Nene nateo bamuchezochezo.
 
Kumbeeeee ni Agness......

Saawaaa.....
 
😂😂
Kumbe unawivu..?
Nimeandika maksudi ili nijue kama wivu unao au hauna maana kila siku nahangaika mimi tu😂😂😜
Pole hakuna Cha agnes Wala ambulance

Nyaauuu weeehhh....

Olee bheebhee Agness... Huku olebheebhee Kasie...

Sitaakiiiii nimenunaaaa...
 
Obhebhe olemana tolebayanda bhana bhakutoleka! Toleweka getegete..
Onene natotumilaga shilevi yoseyose,bhange neyo kabisa!
Ila muziki wake! Mama shindondofilo alelalamika nakamtola li shinu loselose!
Nene natekibamia! Nene naleshiwanda lelesaga nakukoboa! Bha Agnes balelimana Nene nateo bamuchezochezo.
Nkhunalo le pumbu ntafusi poo,nkwangwe mtokho ole magizikana ponyango li funakize vudeoba msakhizi eli youdhar tonyepuz kweli nahkuja ndi hakhom mpododo.
 
Nyaauuu weeehhh....

Olee bheebhee Agness... Huku olebheebhee Kasie...

Sitaakiiiii nimenunaaaa...
Ukinuna unakuwa mbaya! Na vile unamapengo!
Usinune sweet heart haka ka baridi kataniuwa bure.. sitaki kulikosa joto laki adhimu lenye kila sifa ya kunitoa kuzimu na kunileta kwenye ulimwengu adimu😉
Nakuja na asali tucheze na rumba kidogo nakuja na mingoma ya miaka ile..
Huna la kununia kipenzi raha tupeane tunaolewana karaha wapeane wasio elewana .😜
 
Nkhunalo le pumbu ntafusi poo,nkwangwe mtokho ole magizikana ponyango li funakize vudeoba msakhizi eli youdhar tonyepuz kweli nahkuja ndi hakhom mpododo.
Dah! Aliesema kiswahili ni kibantu ni nani..?
Mkuu hilo lugha lako sijaelewa kabisa 😂 nimeona neno pumbu tu ndo nimeelewa sitahitaji tafsiri hilo moja lanitosha!
Itakuwa wewe ndo uliesema kiswahili ni kibantu 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom