Huyu dada ni mtoto wa ma mkubwa, after kuolewa alibahatika kupata watoto 4.
Sie tulijua watoto wote ni wamumewe kumbe hapana, haya yalibainika baada yakua na ugomvi ulopelekea kumwambia mumewe kua watoto 3 si wake na atawapeleka kwa baba zao.
Mumewe aliridhia bt watoto waligoma wakamwambia wao wanamjua huyo ndo baba yao na hawaendi popote.
Tangu hapo dada amekosa maelewano na wanae na amekua mtu wakutanga tanga tu, anakua anasema atawalaani wanae coz hawamsikilizi akati kosa ni lake mwenyewe
Nawashauri wadada mkichepuka mkiwa ktk ndoa muwe makini msijevuruga familia zenu mkakosa msaada bure.