Wanaume tu, lets discuss hiyo mada jion hii huku kamvua kakipiga piga hapa mujini DSM.
Kabla sijaanza kwa topic wacha nishare kidgo stori. Jana nilikua na majukum ya oficn siku nzima bhs ile jion...
Alipopokea tu tuzo zake hivi karibuni, Ronaldo alisema, "Shukrani zimwendee Alberto Fantrau." Kisha akasema:
"Naam mimi ni mchezaji bora na mafanikio yangu yote yamesababishwa na rafiki yangu...
Wanawake wengi wamekua wanashangaa, ni warembo/wazuri sana lakini hawaolewi.
Ukiufuata ushauri huu utakuja kunishukuru.
Wanaume tukitaka kupata mwanamke wa kuoa tunaangalia yule mwenye Hofu ya...
1.Kuwa mama
Mwanamke anaweza akawa na kila kitu duniani, ila kama hajazaa mtoto, sio tu jamii iyomzunguka hata yeye mwenyewe atajiona kuna kitu amekikosa.
Mama ndio nguzo ya familia, kaya, taifa...
Kama tujuavyo, pesa ni Kurwa na Mwanamke ni Doto.
Je, kama huna pesa unaweza kujikwamua vipi? Yaani unaweza kumfanyia nini mwanamke akaridhika tuu hata kama huna pesa?
Sent using Jamii Forums...
Kuna dada mmoja hivi nilimuomba namba zake mwezi wa 3, sikumtafuta baada ya kumuomba namba tokea mwezi wa tatu mwaka huu.
Jana nikaona nimtafute, nikajitambulisha pale tukachat kidogo, basi...
Nilitembelea mtandao mmoja kwa ajili ya kuosha macho tu ili kuongeza ufahamu katika ubongo wangu. Nikakutana na wadada wako sokoni, kwa lisaa limoja ni USD 100. Ikabidi nichukue kikokotozi changu...
Najua Kuna watu wanauzoefu humu ndani ivi Kuna namna mwanamke anaweza itumia asipate mimba au Mimi mgumba hivyo ananionea aibu kunambia utakuwa una tatizo ? Maana hatumii vidonge Wala sindano Wala...
Kiukweli nachukizwa sana na dada zetu wenye tabia ya kushinda kwenye mitandao kukalia kulazimisha wanaume wawape Pesa au vocha a.k.a salio. Na mbaya zaidi wanajitongozesha wenyewe kwa wanaume...
Muda mwingine huwa mahusiano yangu na demu huwa yanavunjika pale anapotaka nimpe ahadi ambazo huwa siwez kumtimizia
Niliwahi kuwa na demu ambae sina malengo ya kumuowa lakin kila tukichat anaanza...
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.
Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua...
Samahani hapa najua wanawake wooooote huku mtanichukia lakini I don't care 💃
Kuna mtu hapa analalamika kuwa mume wake haweki picha yake profile picha kwenye WhatsApp au Facebook hata Instagram...
Kwenye huu ukanda wa baridi,tulishazoea kuwa tunakunywa kahawa, supu ya motomoto pamoja na vitu vinginevyo ili kuupa mwili joto.
Hata katika mahusiano kipindi hiki ukidate na wale wembamba...
Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na...
Jaman Hivi inakuaje mdada unakuwa na mwanamme mmoja tu..
Utakuwa unaumia kila siku kama wameamua kutupanga tu basi wacha tuwapange
Tukitaka kuolewa tutatulia baadae
Kuna wanawake katika mahusiano wanakua na aibu, au tuseme hawajiachii.
Nawashangaa sana mwanamke unamuomba umnyoe sehemu zake nyeti yeye anakataa.
Mwanamke anatakiwa ajue, unapokua na mwanaume...
KWA NINI MTU AKITAKA KUOA ANAOA MTU TOFAUTI NA ALIYEMPENDA?
Mwanafunzi alimuuliza mwalimu,
"kwa nini mtu akitaka kuoa anaishia kumuoa mtu tofauti na aliyempenda?." Mwalimu akamjibu akasema; "ili...
Katika dunia hii iliyojaa makabila tofauti tofauti, kila kabila au jamii ina utaratibu wake wa kutoa mahari. Kuna wengine wanatoa njiwa wanapata mke, wengine wanatoa aina fulani ya mifugo wanapata...
Habari za humu ndani,kuna kitu ninauliza..kuna wimbi la vijana wengi siku hizi hapa Dar kuvaa pete kidole kidogo cha mwisho au kidole gumba au kidole cha kwanza baada ya dole gumba...hizi...