Legezeni masharti angalau mahari iwe ni debe la mahindi

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,270
40,080
Katika dunia hii iliyojaa makabila tofauti tofauti, kila kabila au jamii ina utaratibu wake wa kutoa mahari. Kuna wengine wanatoa njiwa wanapata mke, wengine wanatoa aina fulani ya mifugo wanapata mke, wengine wanatoa dumu la asali na kupata mke n.k. Sasa najiuliza hawa wa kwetu wanaotaka mavitu makubwa makubwa wanayataka ya nini, au ndio kuuziwa binadamu (mke)? Kwa wale ambao hawajaolewa mpaka nyakati hizi, jaribuni kulegeza masharti angalau mahari iwe ata debe la mahindi,ili na wewe uwe na mume.
 
Mahari ikiwa kubwa sana ni kikwazo lakini sio ndio iwe ndogo kabisa inapoteza maana,baina ya hapo.

duh!!deba la mahindi
 
Ni kweli lakini kama unayemuhitaji huwezi kumuafford tafuta utakayeweza,sometimes watu mna matumizi mabaya ya lawama tu

Ukipata utakayeambiwa ulipie mahari ya njiwa kama ulivyoandika hapo juu peleka njiwa,oa
afu kwa sauti kubwa lol, weee binamu taratibu mbavu znauma, eti njiwa khaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom