Nina mwaka mmoja sasa katika kampuni ninayofanyia kazi, katika kitengo nilichoko bosi wangu ni mama mtu wa makamo mwenye binti mmoja(ni single mother). Uyu mama ni mkali sana kiasi kwamba...
Huyu mwanaume wangu tunasoma wote chuo jana nilimpiga kibuti kalia lia kwamba amekosa raha siku nzima kwanini yeye anachukulia mapenzi serious mimi nachukulia mzaa nimerudiananae.
Amewahi...
Habari wanajamvi?
Kwanini Mademu walio wengi ni wepesi kutoka na Jamaa mwingine tofauti na mtu wake pale kunapokuwa na sababu zisizo za msingi?
Kwa mfanio, utamkuta Demu ameachika na Jamaa jana...
Binafsi nina relationship na msichana mmoja honest ananipenda na mimi ninampenda. Ni msichana anayenijali sana yeye kidogo ameanza teyari maisha na pia ana kazi na amepanga kabisa, kwa upande...
It is my hope that all is well on your end, I wish I could have done all I could to hold you, to not let you go.
Please, come back, I miss you, life has no meaning without you.
I wish I know...
Mambo zenu ndugu zangu
Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa...
Pyadyumna Kumar Mahanandi, aliendesha baiskeli kutoka New- Delhi india hadi Gothenburg, Swiden ili kukutana na mpenzi wake, Ann-Charlotte. Ilikuwa mwaka 1977, aliendesha baiskeli kwa umbali wa Km...
Nipo hapa nasoma Biblia kitabu cha Esther. Kwa wale wakristo najua mnamjua Malkia Esther. Nilichojifunza Kwa huyu Bindada kikubwa kabisa NI "alikuwa Bingwa WA kukata Mauno" Imagine mabikra wooote...
Mimi kuna huyu mpenzi wangu jana wakati amekuja kwangu usiku kuna boxer niliivaa wakati nikiwa nae akasema anaipenda na ataondoka nayo kama ukumbusho akiwa kwake.
Tulicheka na nikajua utani...
Kwanza mwanaume akishakuzoea romance zinapungua anaanza ubinafsi wa kujiridhisha mwenyewe. Hapo ameshatoka kunywa bia zake utasikia mimi ninalala kesho nina mkutano wa muhimu sana.
Sasa hii...
Hiki kipindi kwa wale tulio single ila tuna michepuko ya kujipoozesha tunapataje shida
Kwa Sasa inabidi tuwe single kiukweli yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Mimi nakuwa nilikuwa naona vile ilivokuwa ngumu kwa mwanaume kumtongoza mwanamke hadi amkubalie amvue nguo..Hata wakati mwingine wanaume wengi waliliwa hela zao bila kuweza kuona...
Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi.
Wasifu.
Ni mama wa mtoto mmoja.
Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu chuo...
Habari, Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30. Ni mwajiriwa na nina elimu kiasi. Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe...
Wakuu natumaini mnaendelea poa na majukum. Niende moja kwa moja kwa kwa yale yanayonisibu.
Wakuu mi nimeoa takriban mwaka wa 7 sasa plus miaka ya uchumba na mahusiano it's almost miaka kumi nipo...