Kukata mauno kwa Mpenzi wako sio dhambi

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,758
14,687
Nipo hapa nasoma Biblia kitabu cha Esther. Kwa wale wakristo najua mnamjua Malkia Esther. Nilichojifunza Kwa huyu Bindada kikubwa kabisa NI "alikuwa Bingwa WA kukata Mauno" Imagine mabikra wooote walioitwa Kwa Mfalme yeye akawapita wote

Wanaume mtanielewa na kukubaliana Nami kuwa wanawake Wana utamu tofauti tofauti na mpaka mwanaume amekukubali na kukuita malkia wake WA nguvu na kukuweka ndani kama MKE ina maana, umemchizisha kwenye Mauno 🏃🏃🏃🏃🏃

Kwahiyo naomba twende Sawa wale TUNAOENDA Mbinguni siku si nyingi kwamba, kukata Mauno Kwa Mpenzi wako sio dhambi hasa ukiwa ndani ya NDOA 🙏

Unatakiwa ukate Mauno kuliko Beyonce, Jezebel, Shakira, Rihanna, Danga, Malaya
Kama haujui mwombe Mungu akupe Mbinu za kukata Mauno maana yeye ndio mwanzilishi WA NDOA Duniani.

Shughuli inakuja pale unapokutana na Muhogo au mguu WA mbwa, SA sijui Nani atakusaidia, sijui utaita Mama au?! 🏃🏃🏃🏃🏃🏃

Bado naendelea kusoma Siri za Delilah aliemchanganya Samsoni mpaka akatoa Siri yake alopewa na Mungu, mimi najua NI Mauno Tu yalimchanganya Samsoni mpaka akatoa Siri, wewe unaonaje mpenzi msomaji?!

 
Dah, yaani Malkia Esta umeona la kujifunza kwake kubwa hasa ni kuhusu kukata mauno?
Kuwa serious mama...
 
Hili ndilo tatizo la kusoma Biblia ukitafuta kuhalalisha mawazo yako ya ngono. BIKIRA na kukata mauno wapi na wapi!? Huyo BIKIRA Esta alikatia wapi hayo mauno?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
We mpagani embu kanunue Biblia ya Kiswahili uisome, usipoelewa njoo hapa Mlima WA Moto tukutafsirie au uje hapa kawe viwanjani utaeleweshwa
 
Bibie YAANI KATIKA JAMBO AMBALO MWANAMKE HATA KWA UISLAAM AMEAMBIWA HATAKIWI KUJIACHIA MAPAMBO NA MAMBO YAKE YOTE ISIPOKUWA KWA MUMEWE TU...

YAANI UISLAAM MWANAMKE KWA MUMEWE YAANI NI YEYE TU NA MWANAUME KWA MKEWE NI YEYE TU... FULL KUJIACHIA ISIPOKUWA SEHEMU ZILIZOKATAZWA...

LAKINI SHIDA UNAPATA JANAMKE ETY LINAONA HAAYA KWA MUMEWE KUJIACHIA...

MWANAUME AMBAYE ANAMUENDEA KAMA MNYAMA ANA DHAMBI NYINGI SANAAA...

HATAKIWI UTOKE KWENYE MWILI WA MWANAMKE MPAKA NA YEYE AKOJOE... ILA UKIKUTANA NA JANAMKE SHAMBA NA PUMBAVU LISILOFUNDISHIKA LINAONA HAAYA YA KIPUMBAVU... JIRIDHISHE WEWE TU JILALIE ZAKO...

KESHO ASUBUHI UKIWA NA UWEZO ALLAH AMEKUFUNGULIA MTAFUTIE CHAMA PINZANI HUENDA ATAZINDUKA USINGIZINI.
.

KUNA WATU WENGINE KAMA WEHU VILE...
 
We mpagani embu kanunue Biblia ya Kiswahili uisome, usipoelewa njoo hapa Mlima WA Moto tukutafsirie au uje hapa kawe viwanjani utaeleweshwa
Kama huu upuuzi ndio mnaojifunza mlima wa moto hakika mtaunguzwa kwenye kiama na mawazo yenu ya ngono. Vipofu wakubwa, iweje mshindwe kuiona neema ya Mungu iliyokuwa juu ya Esta kwa jukumu maalum mgeuze neema hiyo kuwa haja ya ngono?

Kizazi cha nyoka, someni biblia in context, msitafute ishabihiane na haja za mioyo yenu. Huu ujinga wa kudai eti mauno ya Esta ndio yàliyomchanganya mfalme ni mawazo ya roho ya uzinzi na ukahaba. Kwa nini kuibatili neema ya Mungu kiasi hiki?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom