Je, umewahi kufanyiwa kitu gani cha kushangaza na mpenzi wako alipokuja kulala kwako?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,311
2,000
Mimi kuna huyu mpenzi wangu jana wakati amekuja kwangu usiku kuna boxer niliivaa wakati nikiwa nae akasema anaipenda na ataondoka nayo kama ukumbusho akiwa kwake.

Tulicheka na nikajua utani, asubuhi wakati anaondoka si akaikusanya na boxer yangu akasepa nayo, aisee kanishangaza sana.

Sasa sijui anaenda kuifanyia nini?CC Zero IQ
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom