Nimeshangaa na kujiuliza Mengi kwenye hili

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
510
Reaction score
664
Wakati Mimi nakuwa nilikuwa naona vile ilivokuwa ngumu kwa mwanaume kumtongoza mwanamke hadi amkubalie amvue nguo..Hata wakati mwingine wanaume wengi waliliwa hela zao bila kuweza kuona chochote..Hongereni kwa wanawake wa kipindi hicho kuanzia 2004 kushuka chini..

Cha ajabu sasa Siku hizi wanawake wanajirahisisha sana..Nilishangaa kuona mkaka mmoja anamwomba penzi mke wa MTU nikashangaa sana. Mimi nilikuwa zangu bize na kulima hawakujua nawasikiliza nikasikia mkaka anamwambia mke wa MTU eti nataka Siku moja Nile mzigo huo kidogo mwanamke kamjibu usihofu jiandae ukiwa sawa nipigie..mwanamke akatoa na namba ya simu...nilishangaa.nakujiuliza maswali mengi mno..

Inamaana Siku hizi hivi vitu havina thamani namna hii.. Wakati enzi zetu tunakuwa tulikosa wala tulikuwa hatudhubutu na wakati mwingine kule kijijini tulisubiri mwanamke anakojoa mahali tunaenda kutazama hapo alipokojoa baada ya yeye kuondoka..iweje Leo hii kitu iwe nyepesi hivi kupatikana..

Hebu tushauriane hapa tujue tatizo ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....tatizo ni haki sawa jambo ambalo zamani hatukuwa nalo kabsa,...Ila ukistaajabu ya mke wa mtu atayaona ya dada poa.
 
Enzi hizo ukimpa mwanamke ela hapokei,siku hzi wanawake wamekua kama vocha unaweza jichagulia kifurushi upendacho na ukakipata mda huo huo kwa malipo nafuu na ghali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi hizo si mlikua mnapiga ngwala tu au kuvutana vichakani? Hebu acheni uongo nyie wahenga. Mpige mtu ngwala sasa hivi uone balaa!
 
Wakati Mimi nakuwa nilikuwa naona vile ilivokuwa ngumu kwa mwanaume kumtongoza mwanamke hadi amkubalie amvue nguo..Hata wakati mwingine wanaume wengi waliliwa hela zao bila kuweza kuona chochote..Hongereni kwa wanawake wa kipindi hicho kuanzia 2004 kushuka chini..

Cha ajabu sasa Siku hizi wanawake wanajirahisisha sana..Nilishangaa kuona mkaka mmoja anamwomba penzi mke wa MTU nikashangaa sana. Mimi nilikuwa zangu bize na kulima hawakujua nawasikiliza nikasikia mkaka anamwambia mke wa MTU eti nataka Siku moja Nile mzigo huo kidogo mwanamke kamjibu usihofu jiandae ukiwa sawa nipigie..mwanamke akatoa na namba ya simu...nilishangaa.nakujiuliza maswali mengi mno..

Inamaana Siku hizi hivi vitu havina thamani namna hii.. Wakati enzi zetu tunakuwa tulikosa wala tulikuwa hatudhubutu na wakati mwingine kule kijijini tulisubiri mwanamke anakojoa mahali tunaenda kutazama hapo alipokojoa baada ya yeye kuondoka..iweje Leo hii kitu iwe nyepesi hivi kupatikana..

Hebu tushauriane hapa tujue tatizo ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ungeendelea zako kulima tu kuliko kajiuliza juu ya akili za wanawake wa sikuhizi😂
 
Wivu tuu...kama enzi zenu mlizitafuta papuchi kwa torch msitolee macho nyakati zetu
 
Back
Top Bottom