Kuna Faida ya kuwa mwaminifu kwenye mahusiano?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Kuna Faida ya kuwa mwaminifu kwenye mahusiano, na kuna hasara pia. Ila kwa mtazamo wa kawaida inaonekana kuna hasara kubwa sana kuliko faida. Je nini mtazamo wako kutokana na experience yako?
1.jpg

2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
7.jpg
9.jpg
8.jpg
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    20.3 KB · Views: 2
Mashine ili iweze kwenda vema inahitaji oil(uaminifu) na grease (uongo). Ukizidisha sana uaminifu katika mahusiano unaongeza mashaka ya kutokuaminika. Vyote kwa pamoja vinahitajika kutegemeana na hali ya mahusiano husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom